Hukumu ya Chenge tutarajie jipya?

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Hatimaye hukumu ya Chenge itasomwa tarehe 16 Desemba 2010. Hivi tutarajie huyu jamaa akipelekwa Segerea kutumikia adhabu ama itakuwa makosa yalikuwa ya marehemu?
 
Watasema hana hatia ya kuua, ni uzembe wa dereva wa bajaji na ile kesi ya kuendesha gari bila ya bima watasema ni jukumu la TRA kumfungulia mashataka. Hivyo Chenge hana hatia na mahakama imwmwachia huru.
Watanzania hawataki machafuko, watamsamehe Chenge na wale ndugu wa marehemu watapoozwa yaishe. CCm hawako tayari kupoteza kiti cha ubunge.
 
wapendwa,
usiku wa kuamkia leo kuna jamaa kamchinja mama yake kama kuku kisha akawachinja kwa style hiyo hiyo watoto wake wawili wa kuwazaa. Tukio hili la kusikitisha lilitokea jana usiku wa saa 2:00-4:00 katika kijiji cha Kokirie huko Mamba wilaya ya Moshi Vijijini. Nimeshuhudia maiti hizi kwa kweli zinasikitisha hasa ukiangalia watoto wale wa miaka 9 na 12 walivyochinjwa kama kuku. Bahati mbaya ama nzuri wananchi wenye hasira nao wamemuua huyo jamaa na kisha kuchoma moto maiti yake. Japokuwa inaelezwa huyu jamaa huenda akili zimemruka lakini amekufa na siri ya kiini cha mauaji haya. Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi,Amen
 
hukumu:-toa faini la laki 2 au kwenda jela miezi mi3 hahahaha,Tanzania bwana
 
wapendwa,
usiku wa kuamkia leo kuna jamaa kamchinja mama yake kama kuku kisha akawachinja kwa style hiyo hiyo watoto wake wawili wa kuwazaa. Tukio hili la kusikitisha lilitokea jana usiku wa saa 2:00-4:00 katika kijiji cha Kokirie huko Mamba wilaya ya Moshi Vijijini. Nimeshuhudia maiti hizi kwa kweli zinasikitisha hasa ukiangalia watoto wale wa miaka 9 na 12 walivyochinjwa kama kuku. Bahati mbaya ama nzuri wananchi wenye hasira nao wamemuua huyo jamaa na kisha kuchoma moto maiti yake. Japokuwa inaelezwa huyu jamaa huenda akili zimemruka lakini amekufa na siri ya kiini cha mauaji haya. Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi,Amen

inasikitisha mno.
Lakini naamini jamaa hakuwa ktk hali ya kawaida bila shaka akili zake ziliruka.
 
Back
Top Bottom