Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

Je Mahakama inaweza kututhibitishia bila shaka yoyote kuwa kwa (hukumu ya) kuwaamuru walimu warudi kazini watafanya kazi kwa tija?

Kama hawawezi kuthibitisha hilo pasina shaka, je kwa nini tusiwapuuze kwa kukosa weledi?
 
Mbona yeye kaingilia swala lililoko mahakamani au yeye yuko juu ya sheria??!!

Makinda anazima hoja ya Uli.... mbona hakuzima hoja ya Mdhaifu wake jana.

Sawa tunakubali hawezi kulipa 100% mbona hajasema ana uwezo wa kulipa % ngapi?? Huyu jamaa tumchomoe ikulu kabla ya 2015 au mkitaka tuwe Imani kama chembe kama ya haradani tuhamishe Ikulu iende A Town muone kama hatujawa state house tunakunywa kahawa. Nyie Wabongo waoga sana, mko wengi alafu ujasiri sifuri AIBU!!!!
 
mnapoteza muda wenu kusubiri hukumu wakati mkuu wa nchi ameshatoa hukumu, ameshawachana live sirikali haina hela za kuchezea kulipa posho ya 55% na 50%! ngoja mie nikalale kupoteza mawazo.
umeona eeh...bora mkuu utafute viza ukafundishe botswana
 
hukumu haijasomwa tu hadi sasa saa 15:24 za kibongo
wamesemaje? hata hivo sitarajii walimu washinde kwani serikali itaumbuka.
 
There are currently 501 users browsing this thread. (127 members and 374 guests)

Waonee huruma hao users, wana mambo mengi ya kufanya. Updates Please!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom