Hukumu Kesi ya Kikatiba ya Jamii Media: Mahakama yakiri Sheria Makosa ya Mitandao inahitaji kanuni

Pole sana Mkuu Maxcence na team yote ya JF.
Be bold to defend our beloved JF.
May the good Lord guard and bless you all!!
Hili ni gazeti, Tv, Radio pekee ambayo naweza kupoteza muda mwingi bila kuchoka. together we stand, JF.
 
hope is the last thing to lose in any struggle
it is my hope that some day the truth,justice and humanity will make sense,even to the numbest of the power-fools of this world
 

Attachments

  • Speed Cameras Ruled Unconstitutional.doc
    31 KB · Views: 36
Haya mazombie yatapambana kuua uhuru wa habari lakini hayatashinda!
 
...mahakama imekwepa kuchambua na kutoa hukumu juu ya core substance ila badala yake imejielekeza kwa suala dogo la kukosekana kwa kanuni za sharia husika.
 
Back
Top Bottom