Hukumu kesi iliyogunguliwa na DC mstaafu, Dahn Makanga dhidi ya Mathew Mollel yakwama kusomwa leo


B

buswelu moja

Senior Member
Joined
Aug 24, 2014
Messages
171
Likes
19
Points
35
Age
33
B

buswelu moja

Senior Member
Joined Aug 24, 2014
171 19 35
MAHAKAMA ya hakimu mkazi Arusha leo imehairisha kusoma hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mkuu wa wilaya mstaafu nchini,Dahn Makanga dhidi ya Mathew Mollel ambaye ni mkazi wa jijini Arusha.
Hukumu ya kesi hiyo ilikuwa inatarajiwa kusomwa leo mnamo Novemba 14 mwaka huu na hakimu mkazi wa mahakama hiyo,Gwantwa Mwankuga baada ya upande wa
mashtaka na utetezi kufunga ushahidi wao.

Akitangaza kuharisha kusoma hukumu hiyo hakimu Gantwa alisema kwamba amehairisha kusoma hukumu hiyo kutokana na sababu mbalimbali ambazo hakuzitaja hadharani.

Mara baada ya kutangaza uamuzi huo ndipo aliposema ya kwamba amefanya hairisho fupi kutangaza hukumu hivyo na kupanga kuisoma ifikapo Novemba 24 mwaka huu.

MY TAKE;- Haijajulikana mpaka sasa ni kwanini Hakimu Gantwa amehairisha kutangaza hukumu hiyo kwa kuwa hizo sababu hajaziweka hadharani.

Leo mahakamani watu walikuwa wamefurika hakika wengi wakisubiri kusikia hukumu hiyo kwa hamu kwa kuwa kesi hiyo imejizolea umaarufu na kuvuta hisia za watu hapa Arusha kutokana na kwamba mlalamikaji na mlalamikiwa wana nasaba na wameoa nyumba moja kwani mlalamikaji ameoa dada mtu na mlalamikiwa ameoa mdogo mtu.

Tukutane ijumaa ijayo nitawajuza nini kimejiri mahakamani stay tuned
 
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
6,962
Likes
9,151
Points
280
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2014
6,962 9,151 280
Kesi yao inahusu nini?
 
E

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Messages
10,711
Likes
4,582
Points
280
E

eddy

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2007
10,711 4,582 280
Watu wa arusha wa hovyo
 
naumbu

naumbu

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
3,926
Likes
5,112
Points
280
naumbu

naumbu

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
3,926 5,112 280
Kesi inahusu nini?umeandika kama upo Arusha forum wote wanafahamu hiyo kesi
 
Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Messages
3,146
Likes
3,108
Points
280
Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2009
3,146 3,108 280
mkuu du hii sasa ni shidaa kwa nini walioweyana ilikuwa kulipiziana kisasi au kuimarisha undugu? yaani hii ndiyo inaitwa Civil war
 
Nelson nely

Nelson nely

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Messages
3,936
Likes
2,176
Points
280
Nelson nely

Nelson nely

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2014
3,936 2,176 280
Kesi inahusu nini kwani?
 
Job K

Job K

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
8,166
Likes
4,288
Points
280
Job K

Job K

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
8,166 4,288 280
mkuu du hii sasa ni shidaa kwa nini walioweyana ilikuwa kulipiziana kisasi au kuimarisha undugu? yaani hii ndiyo inaitwa Civil war
Wewe Akili Unazo lakini hutaki kizitumia sijui kwa nini? Kwani kuoa familia moja kuna ubaya gani? Yaani kwa mfano wewe na dada yako mwolewe na wanaume tofauti, ndicho hicho mleta mada alichosema. Kwamba Danhi Makanga na huyo Mollel wameoa familia moja!!
 
Job K

Job K

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
8,166
Likes
4,288
Points
280
Job K

Job K

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
8,166 4,288 280
Kesi inahusu nini kwani?
Nakumbuka kulikuwaga na ugomvi wa shamba/kiwanja kule Burka nafikri itakuwa hiyo kesi ya kutaka kudhulumiana wanandugu! Inavyosemekana wqkati Makanga akiwa kwenye siasa alimtumia huyo Mme mwenzie kumnunulia hilo shamba sasa M-Arusha akaingia tamaa akataka amdhulumu jamaa yake!
 
CaptainDunga

CaptainDunga

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2009
Messages
1,202
Likes
930
Points
280
CaptainDunga

CaptainDunga

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2009
1,202 930 280
Kesi inahusu nini?umeandika kama upo Arusha forum wote wanafahamu hiyo kesi
Itakuwa aliye oa mke mkubwa alikuwa anamtaka mdogo na aliye oa mdogo alikuwa ana mtaka mkubwa
 
Nelson nely

Nelson nely

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Messages
3,936
Likes
2,176
Points
280
Nelson nely

Nelson nely

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2014
3,936 2,176 280
Nakumbuka kulikuwaga na ugomvi wa shamba/kiwanja kule Burka nafikri itakuwa hiyo kesi ya kutaka kudhulumiana wanandugu! Inavyosemekana wqkati Makanga akiwa kwenye siasa alimtumia huyo Mme mwenzie kumnunulia hilo shamba sasa M-Arusha akaingia tamaa akataka amdhulumu jamaa yake!
Kazi ipo
 

Forum statistics

Threads 1,215,072
Members 463,005
Posts 28,534,716