Hukumu dhidi yangu: Asante Watanzania, asante Ndugu na Marafiki

Hata makaburu wa Afrika kusini walitunga sheria, ila zilikuwa sheria zenye nia ovu na kandamizi. Keep it in your mind.
Thanks so much so called Mr. Tindo, do you run any enterprises in Tanzania?
Do you run it without rules ?.

He must follow his interests, in the same vain listen to those with authority to open or can close JF.

If he can not listen to them they will close this platform. Hence he needs balancing act.
 
Thanks so much so called Mr. Tindo, do you run any enterprises in Tanzania ?
Do you run it without rules ?.

He must follow his interests, in the same vain listen to those with authority to open or can close JF.

If he can not listen to them they will close this platform. Hence he needs balancing act.

Ask them to close this platform so that they can be happy.
 
Ask them to close this platform so that they can be happy.
This is not what we discussing, it is about living in condition of constrains. Do you write because you have access to keyboard ? We are talking about somebody's business which he must guard it as an enterprises.

JF lazima iwepo Ili sisi tu endelea kufaidi.
 
Hongera sana mkurugenzi kwa kuwa huru. Lakini pia natamani kujua na kupata uhakika ni lini chapati ikawa ngumu mbele ya chai na hasa kipindi hiki ambapo watu lukuki wananunuliwa kwa siri na kwa uwazi, kwa hiyari au kwa vitisho, kwa ahadi ya asali au bila ahadi kwa maslahi ya wale wanakikundi?
 
This is not what we discussing, it is about living in condition of constrains. Do you write because you have access to keyboard ? We are talking about somebody's business which he must guard it as an enterprises.

JF lazima iwepo Ili sisi tu endelea kufaidi.

JF sio gazeti la Uhuru, kwa vyovyote huku hakuna uwezekano wa kuwa na mada za kuipaka manukato serikali. Na tatizo la huku jf ni kutokuwa na mada za kuiremba serikali, hapo ndio lilipo tatizo la msingi. Hizo sheria ni kwa ajili ya kuzuia hizo mada za ukweli usioifurahisha serikali. Kwahiyo usitake kuzunguka na kujificha kwenye sheria wakati tunajua tatizo ni ukweli unaouma.
 
Naam, miaka 4 ya nenda - rudi kortini imehitimishwa leo baada ya hukumu ya mwisho kusomwa mahakamani.

Pole sana engi, kuna wakati hivi vitu vitaisha tu, wakati ambapo viongozi tutakaokuwa nao watajua nini hasa maana ya kuwa kiongozi wa watu. Kwa sasa wanachoelewa kwa upotofu mkubwa ni kwamba kuwa kiongozi maana yake ni kuwa na madaraka juu ya watu, na hii mentality ipo kuanzia uongozi wa juu kabisa nchhini hadi ngazi ya chini kabisa.
 
Jf sio gazeti la Uhuru, kwa vyovyote huku hakuna uwezekano wa kuwa na mada za kuipaka manukato serikali. Natatizo la huku jf ni kutokuwa na mada za kuiremba serikali, hapo ndio lilipo tatizo la msingi. Hizo sheria ni kwa ajili ya kuzuia hizo mada za ukweli usioifurahisha serikali. Kwahiyo usitake kuzunguka na kujificha kwenye sheria wakati tunajua tatizo ni ukweli unaouma.
Mi sikuelewa hata kidogo, labda wewe ni mpenzi wa ubishi.

Hapa ninazungumza na Max, hii ni biashara ya Max yeye anaendesha maisha na hii platform form ambayo sisi tunaitumia.

Ikifungwa sisi tutakacho poteza ni jukwa la kuzungumzia.

Yeye atapoteza jukwa hili JF na uwekezaji wake kwenye huu mradi.
Anatuhitaji lakini anayo maisha yake. Hence a balancing act.

Akufurahishe wewe tuu ?,

kwani wewe ni nani?

na kwa nini ?

Kwa faida gani?

Ambayo yeye itampa hasara. Usijipendelee kuliko wenye JF .

LAZIMA TUWE CONCERN NA MAISHA YAO, WAO SIO WAJINGA WA KUPITILIZA WAKUPENDE WEWE TINDO NA UWE MUHIMU KULIKO MAISHA YAO NA FAMILIA ZAO.

USHABIKI UPEWE UMUHIMU KULIKO MAISHA, USHUJAA WA UJINGA. KILA TUKIO LINA KIASI , NI KAMA VILE TUNDU LISSU YALIPO ZIDI KAONDOKA, MAISHA YAKE KWANZA.

HIYO NI AKILI YA WAPI? SIFIKIRII HIYO NDIO BROTHERHOOD YA JAMII FORUMS.
 
Kwa hiyo mapendekezo yako ni kuwa jukwaa hili usiwekwe ukweli uliomtia matatani, au unataka habari ya kufichua maovu yakiwekwa hapa, awataje hao walioweka ili aendelee kula? Kama lengo lake ni kula tu, si bora angegeuza hili jukwaa liwe la habari za kusifia tu?

Ngoja kwanza nikuulize ili nihakikishe kama tuko kwenye uelewa wa pamoja. Chanzo cha Melo kuwa na hii kesi ni nini, kisha tuendelee na mjadala.
 
Hongera sana na pole naamini sasa ndio umeiva katika uendeshaji wa mtandao.

USHAURI: jitahidi kufuata sheria ukibalance na miiko ya uliyo jiwekea. Kama tuu hapa JF tunaishi kwa masharti na miiko uliyotuwekea. Hakuna shuguli yeyote isiyo na masharti au miiko.
Ushauri wa kipuuzi.

Watu wanafanya mambo nje ya taratibu, au wanajitungia sheria za kukandamiza wengine, bado unaziita hizo "taratibu, miiko waliyowekewa"?

Ati "Hakuna sgughuli yeyote isiyo na masharti au miiko"? Unaelewa unachoshauri hapa?
 
Media huru tuliyobaki nayo hapa nchini ni JF tu wengìne wameshafyata.Tunaomba bro Melo uzidi kuimarisha maulinzi kwenye hii forum yako ili sera yetu ya "We dare to talk openly" izidi kudumu milele na milelee(ITIKIA)
 
Pole na hongera.

Ushindi huu ni kwa wapenda Uhuru wa kujieleza woote. Mungu akulinde.

Hiki ni kati ya vyombo vya habari vichache ambavyo watanzania wanna Uhuru wa kupumua kwa kueleza maoni yao bila hofu.

Unastahili TUZO nyingine
 
Hongera Mello, umelinda uhuru wa watu kujieleza. Serikali ingekuwa makini ingekufanya rafiki. Lkn kwa sababu ya hila wamekufanya adui.

Siku zote mtoa taarifa nyeti utambulisho wake hautajwi. Upelelezi walitakiwa kuchukua details na kuzifanyia uchambuzi.

Kama ni uongo, si kazi ya serikali kulalamika bali ya aliyetuhumiwa angechukua hatua.

Mungu akubariki
 
Back
Top Bottom