Hukuma ya kuweka kizuizi cha mwenye kuswali

njia ya saada

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2018
Messages
280
Points
250

njia ya saada

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2018
280 250
Kuweka kizuizi ni lazima, kwa kuwa Mtume ﷺ ameamrisha kuweka kizuizi kwa imamu na pia mwenye kuswali peke yake na amehimiza hilo. Kwa hivyo inatakikana kwa Muislamu aweke kizuizi mbele yake aswalipo na amzuie mwenye kupita baina yake yeye na kile kizuizi alichokiweka, kwa kauli yake Mtume ﷺ: (Usiswali isipokuwa uwe umeelekea chenye kukuzibia, na usimuache yoyote kupita mbele yako, na akikataa basi pigana naye) [ Imepokewa na Ibnu Khuzaimah.]
https://www.al-feqh.com/sw/kizuizi-cha-mwenye-kuswali
 

Forum statistics

Threads 1,389,922
Members 528,057
Posts 34,038,776
Top