mtu kitu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 702
- 508
Hiyo wikipedia sio ushahidi kaka, tukubaliane hapo kwanza, hata wewe unaweza kuingia na kuandika, ndio maana kwenye hilo uliloleta kuna makosa mengi mno ,mwanzo waliandika Ali Hasan Mwinyi alizaliwa Zanzíbar, jambo ambalo sio kweli (sasa weshabadilisha). Kuna wakati Zanzíbar pia ilisemwa ni visiwa vikubwa (Pemba, Unguja na Máfia) jambo sio kweli , wamerekebisha .... Hayo ni baadhi tu. Je Kiswahili ni kibantu au kingozi ? (Ulishawahi kusikisia hii kauli ? ) Wangozi ni watu waliotokea Uhabeshi na kuja kuishi ufuo wa Áfrika uchejua .....
Kuhusu L R nitakupa mifano watu mashuhuri waliozaliwa / lelewa Zanzíbar , yupi Kati yao ana matatizo hayo ya L R .... Mwinyi baba na Mtoto, Samia Suluhu, Ali Shein , Seif Sharif, Charles Hilari , Khadija Kopa , (hatuwataji wanawe ) , Mzee Yusuf, Salim Ahmed Salim, je unaweza kunipa wabara mashuhuri wasio na matatizo ya L R (tena inasikitisha mpaka waswahili wa mrima wanaanza kuchanganya) ....