Huku wote ni matajiri?

BAMIZER

Member
May 2, 2022
52
58
Hivi huku wote ni matajiri au? Kwasabu Mimi kilanikileta mada zangu za laki mbili, tatu, Watu wananikejeli.

Isije kuwa nimevamia chaka la maboss tu, Wanaohitaji nyuzi zinazo husu bilioni kadhaa.
 
,ivi huku jf wote ni matajiri au?
Kwasabu Mimi kilanikileta maada zangu za laki mbili ,tatu,
Watu wananikejeli,

Isije kuwa nimevamia chaka la maboss Tu,

Wanaohitaji nyuzi zinazo husu bilioni kadhaa
Jf ndo sehemu pekee unaweza kuwa anybody and anywhere.
Unafail wapi kujimwambafy mkuu. Hapa kesho nitakuwa Monaco, 🤣
 
Utang'oaje pisi sasa mzee wa kazi?
Nje ya hapa tnapambana kishez kutafuta hizo lak 2
 
Humu hakuna asiyesoma tena wote level za juu, humu kila Mtu analipwa vizuri tena wengine wanaleta uzi wanataka kuacha kazi Mshahara mdogo Milioni 2 kwa Mwezi, humu hakuna anayeamini Uchawi sijui nyuma ya Pazia, humu hakuna asiyewahi kutembelea japo Nchi 5, humu hakuna Mtu ambaye kwa siku hatumii 50k kwenda mbele kwa siku..... kwa kua hatujuani shangaza umasikini na wewe!!!!
 
Hahaha eti japo nchi tano dah
 
kuna uzi wa makapuku utafute upitiepitie uwenda utaokota chochote cha kukusaidia. Kwa hawa ma don wa humu kama Bill Lugano hawatakushauri chochote.

Note; hata mimi ni bilionaire ninayechipukia, so keep the pace!
 
Back
Top Bottom