Huku sasa ni kuionea google

Kinyonyoke

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
3,495
13,132
Kama uzi unavyojieleza,utumiaji wa internet umeshamiri sana siku hizi,hivi kwamba hata uwezo wetu tu wa kufikiria na kupambanua mambo umekuwa kiduchu,na kwa sababu ya uwepo wa google watu tumejikuta tuna search mpaka vitu vya ajabu,ona hii.jamaa mmoja alikuwa chumbani kwake akitumia kompyuta mpakato bi maana Laptop ama PC basi bwana huyu alikuwa akiperuzi kwa raha mtandaoni,sasa ikafikia kipindi bwana huyu haioni simu yake janja,unaambia hapo shida ndipo ilipoanzia kwani jamaa aliitafuta sana simu yake wala asiione,ndipo bwana yule aliyekuwa na ghadhabu ya aina yake akaona isiwe shida sasa unajua alifanya kitu gani...jamaa alizama zake google mpaka sehemu ya kusearchia kisha kwa kimombo chake hivi,my phone is not seen how can you make it seen again.

dah sasa jamani hapa alaumiwe nan.
 
Me nilikosea kuingiza dushe kwenye papuchi nikabidi nizame zangu ndichi fiade ya Google nika-search
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom