Huku Rwanda na Uganda wakizinguana, Kenya na Tanzania watunishiana misuli kwenye mpaka tena

Mambo mengi tu, yaani kwa kifupi huu muungano ni jina tu na chochote chaweza kutokea tukauvunja.
Kumbuka Tanzania juzi ilikua inawazingua Waganda kwenye sukari yao. Hiyo hiyo Tanzania iliwabania Wazanzibari kwa hilo hilo la sukari.
Acha upoyoyo Sisi hatukuzuia sukari kutoka Zanzibar ila tulizuia sukari kutoka uarabuni na Brazil inayoingia kupitia mlango wa Zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha ushamba wewe, sisi hatukuzuia sukari toka Zanzibar bali sukari kutoka brazili etc, zanzibar ni sehemu ya Tanzania, tutazuia bidhaa kutoka sehemu moja ya nchi kwemnda nyingine? acheni ushamba wakenya
 
Uhusiano mbovu wa Kenya na Tz ulianza toka kipindi cha Kenyatta na nyerere.kwa sasa tutakuwa tunapaka mafuta kwa mgongo wa chupa but ukweli ni kuwa sisi ni maadui wa kihistoria na tutakuwa hivyo vizazi na vizazi.
But ukweli mwingine no kuwa sisi tupo mbele kwa karibu ya kila kitu zaidi ya kenya-sisi tutaendelea kuwa baba ktk ukanda huuu na Kenya wataendelea kuwa watoto always kama ilivyo kuwa toka enzi za akina nyerere na kenyatta
 
kenya mpaka sasa hawana uhuru wa kiuchumi, kijeshi wala kijamii .Mambo mengi ya kenya katika nyanja nilizozitaja hapa bado wanatawaliwa na west na mbaya zaidi hawajajitambua bado. Uchumi wa kenya sector nyingi muhimu za kiuchumi, jeshi na jamii zina milikiwa na westerners (wale MAUMAU iliyokuwa inawapinga na kudai uhuru kutoka kwao) mfano wakenya hawana uhuru wa kumiliki ardhi wamebaki kuwa vibarua tu
 
Tuna kichaa AKA kivuruge Ikulu aliyevuruga mazuri yote aliyoyakuta kati ya Tanzania na Kenya.

mkuu mimi ni witness ya haya mambo, KEBS wamekuwa wasumbufu sana kuruhusu bidhaa za kutoka Tanzania kuingia Kenya. Kuna mzigo naufahamu ulikaa pale border Zaidi ya mwezi eti KEBS wanapima ubora tena. kwa hiyo retaliation ya TBS ni sahihi na mie naunga mkono, kama unawawekea wenzio figisu figisu kwa nini na wao tusiwawekee figisu figisu.
Trade between Kenya na Tanzania should be on mutual respect na sio kuwekeana imbalance zisizo na maana.
 
Acha upoyoyo Sisi hatukuzuia sukari kutoka Zanzibar ila tulizuia sukari kutoka uarabuni na Brazil inayoingia kupitia mlango wa Zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio zenu kuzuia zuia kwa vijisababu vya kutunga, kesho mtajikuta mnajizuia hata haki zenu kwenye ndoa.....
Huu muungano mumechelewesha mambo mengi sana, mnataka kila siku mburuzwe, Burundi kajitia ujinga wa kuwaskliza imemuacha kwenye hali ya umaskini wa kufa mtu maana nyie na umaskini ni ndugu tena wa mama mmoja baba mmoja.
 
ringia utajiri wa mzungu mjinga wewe, na unaweza ukawa kibarua wa kiwanda cha mlowezi
 
Sisi hatutegemei EAC kama Kenya, sisi tulishajenga mahusiano mazuri na ndugu zetu wa damu wa kusini mwa Africa, sasa hivi tunafurahia mahusiano hayo, tunafanya biashara halali na kubwa Sana na nchi za SADC, mwaka Jana tulipata faida ya $445M, mwaka huu tunategemea kufikia $600M, ninyi mliojitenga na ukombozi wa Vita vya ukombozi wa Africa, nendeni mkafanye biashara na EU, sisi hatutaki kufanya biashara na wasaliti wa Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio zenu kuzuia zuia kwa vijisababu vya kutunga, kesho mtajikuta mnajizuia hata haki zenu kwenye ndoa.....
Huu muungano mumechelewesha mambo mengi sana, mnataka kila siku mburuzwe, Burundi kajitia ujinga wa kuwaskliza imemuacha kwenye hali ya umaskini wa kufa mtu maana nyie na umaskini ni ndugu tena wa mama mmoja baba mmoja.
Kama nyie mgekuwa mnaundugu na matajiri mmefaidika nini maana kwa umasikini uliopo kibera na pande za turkana unafikiri maishi jehanam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Mbona unalazimisha mambo?, nimekuambia Tanzania biashara tunayoifanya SADC ni mara tatu ya ile tunayoifanya EAC, lazima tuthamini zaidi SADC kuliko EAC.

Kuhusu migogoro ndani ya SADC, yote inasuluhishwa ndani ya SADC, kwasababu tunaishi kama ndugu, hujawahi kuvuka hatua ya kushutumiana nchi moja kutaka kupindua nchi nyingine kama ilivyo Burundi na Rwanda au Rwanda na Uganda.

Ukiacha Malawi na Tanzania, hakuna mgogoro mwengine wowote ndani ya SADC unaohusisha mipaka, Wewe ni mwongo mkubwa sana. Angola na DRC hawana ugomvi. CAR haipo SADC Ndio sababu sijataja Kenya na Somalia.

Sent using Jamii Forums mobile app
endelea kuota

Tshibanda says that Angola’s request ignores the DRC’s rights as enshrined in the UN Convention on the Law of the Sea, which entitles the country to a territorial sea of 12 miles, a contiguous zone of 12 miles and an exclusive economic zone of 200 miles.
According to the Convention on the Law of the Sea, coastal countries have the right to access the high seas.
However, Angola’s map only recognises a triangle limiting the territorial sea, which was the border recognised in 1974 during the regime of Mobutu Sese Seko.
The DRC became party to the Convention on the Law of the Sea in 1989.
The Congolese parliament repealed the Mobutu-era law on 7 May 2009 and retraced the border in the form of a long rectangle that includes an exclusive economic zone.
Angola rejected these new borders on 31 July 2009.
During the Congolese national conference in October 2013, deputy Ezéchiel Kasongo Numbi pointed out that Angola solely occupies and exploits the areas claimed by the Kinshasa government.
The loss for Kinshasa is measured in billions of dollars. Part of the proposed border cuts through Angolan offshore blocks 14 and 15, operated respectively by Chevron and ExxonMobil.
Chevron plans to achieve production of 100,000 barrels per day this year and estimates reserves on the block to be around 3.5bn barrels.
The Congolese government is showing new determination.
Not only did it reject Angola’s demarcation, but it is also preparing a legal case to enforce its rights.

DRC and Angola’s Borders and barrels | The Africa Report.com
 
Sisi hatutegemei EAC kama Kenya, sisi tulishajenga mahusiano mazuri na ndugu zetu wa damu wa kusini mwa Africa, sasa hivi tunafurahia mahusiano hayo, tunafanya biashara halali na kubwa Sana na nchi za SADC, mwaka Jana tulipata faida ya $445M, mwaka huu tunategemea kufikia $600M, ninyi mliojitenga na ukombozi wa Vita vya ukombozi wa Africa, nendeni mkafanye biashara na EU, sisi hatutaki kufanya biashara na wasaliti wa Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa inafurahisha pale watanzania wakijaribu kuhusisha uhusiano wa kihistoria na nchi zengine kwa biashara inayofanywa na wanabiashara wa sasa....
Yani kampuni ya kichina ikifungua kiwanda Tz, ... hooo, uhusiano mzuri kati ya nyerere na blah blah blah
Rais wa SA akitua Tz kwa ziara rasmi, hoo ukombozi wa Africca kusini... blah blah

Reality Check..... Tanzanias inter-sadc trade with all SADC countries amounts to 1.517 Billion USD, while trade between Kenya and Uganda is $1.3B!!!!
 
kama tumeharibu Tani11 za samaki kutoka China hatuwezi kuruhusu bidhaa zenye ubora hafifu kuingia nchini.
labda wapitishe kwa njia za panya
 
wakenya kwa kifupi hamtuwezi, mlijaribu kidogo sana wakati tukiwa buzy na ukombozi wa kusini mwa bara la afrika sasa tuna nafasi na muda wa kutosha wa kupambana na walaghai wa kibiashara na uchumi kama nyie STAY ON
Kuna ule msemo flani wa nyani akishindwa kupanda mgomba, hulaumu...........
Hiyo sababu uliotumia ni sababu ya kivivu sana, Kila siku hua nchi za 3rd world ziko na changamoto kibao,
.. hivi unajua kwenye scandal ya ufisadi za angloleasing wakati rais Moi na Goldenberg Scandal , robo yani 25% ya uchumi wa Kenya iliibiwa?
Hivi unajua kuna ukame mkali uliotokea miaka ya 90's ambao ulikaa mwa miaka mitano, na ndani ya hio miaka mitano, kenya ilipoteza 50% ya wanyama ikiwemo ngombe, ngamia, mbuzi...nk?

Mmekua mkidanganya sana, vita vyote ambavyo Tanzania ilijihusisha viliisha kabla 1970, vita na Uganda viliisha kabla ya 1980s..... Ikifika by 2000 Tz haikua inajihusisha na vita vyovyote vikubwa ambavyo vingedhuru uchumi wake, kwa mfano kule comoros mlilipiwa na France na Lybia....

467985

Ukiangalia hii historical comparizon ya GDP ya Kenya na TZ, inadhihirisha Kenya haikua imeachwa pazuri na wakoloni kama vile watz hupenda kusema, by 1970 uchumi wa kenya ulikua $2.5B na wa Tz ulikua $2.4B.... almost equal

ikifika 1990, uchumi wa Kenya ulikua mara dufu uchumi wa TZ.... Baada ya hapo Ukame mkali na ufisadi ukamaliza uchumi wa kenya hadi tulipoingia 2000 Tanzania tena ilikua imekaribiaa kupita KEnya.. Sisi tukiwa $14.5B na nyinyi mkiwa $13B.... Tokea hapo Tanzania haijawahi kua na vita vyovyote vikali, sisi tumekua na post election violence ya 1997, post election violence ya 2007 ambayo ndo ilikua mbaya zaidi kihistoria..... uvamizi wa Somalia 2011,ambao unatugarimu $80M kila mwaka , Mashambulizi ya kigaidi ambayo yamesababisha watalii kupungua na wawekezaji kua na hofu..... Licha ya hayo yote gap ya GDP kati ya Kenya na TZ inazidi kuongezeka!

2010 gap ilikua $10B, tukiendelea hivyo hivyo by 2030 gap itakua imefika $25B

africa-2030a.jpg
 
Halafu uhuru Kenyatta anaenda kuwasuluhisha m7 na Kagame.. wakati yy mwenyewe ana limgogoro na bongoland
 
Halafu uhuru Kenyatta anaenda kuwasuluhisha m7 na Kagame.. wakati yy mwenyewe ana limgogoro na bongoland

Mgogoro na Tanzania haujaanza jana na hautaisha kesho, kuna kipindi tulizinguana hadi tukabamiza muungano, hivyo hatutegemei ipo siku tutaendana na nyie, hata kwa vizazi vyetu vijavyo, tupo tofauti sana baina yetu, nyie mumefundishwa kuishi kwa kuongozwa na kuelekezwa, sisi tunaishi kwa kujiongoza na kuhoji kila kitu.
Lakini Waganda na Wanyarwanda tukigombana nao tutapoteza sana maana wao tunaendana kwa kila kitu, kimtazamo na kimaisha, ndio maana hata M7 hutubip kwenye kisiwa lakini hatumpigii.
 
Huwa inafurahisha pale watanzania wakijaribu kuhusisha uhusiano wa kihistoria na nchi zengine kwa biashara inayofanywa na wanabiashara wa sasa....
Yani kampuni ya kichina ikifungua kiwanda Tz, ... hooo, uhusiano mzuri kati ya nyerere na blah blah blah
Rais wa SA akitua Tz kwa ziara rasmi, hoo ukombozi wa Africca kusini... blah blah

Reality Check..... Tanzanias inter-sadc trade with all SADC countries amounts to 1.517 Billion USD, while trade between Kenya and Uganda is $1.3B!!!!
Wewe vipi?, hatuangalii volume of trade, what matters is balance of trade, I am sure you don't know the difference between volume of trade and balance of trade that's why you are talking like kid.

The volume of trade between China and Kenya is ten times bigger than between Kenya and Uganda, but balance of trade between Kenya and Uganda is ten times better than that of Kenya and China.

Tanzania we do enjoy very good balance of trade in SADC, compare to EAC. We recorded positive balance of trade of $447M in SADC last year, and positive balance of trade of $135M in EAC. What you quoted is volume of trade which is a general term doesn't show any meaningful information.

You sell goods worth $447M more to SADC than you buy from SADC and you call that balance of trade?????

Compare that with Kenya vs Uganda where in 2017 Kenya exported $650m while importing $570m from Uganda.... Thats what you call balance!

BTW Volume of trade is very much meaningfull in this conversation since it looks at the gereneral voolume of trade.....
Yani all the trade between the 16 Sadc members and Tz is almost equal to the volume of trade between Uganda and Kenya
 
Wewe Ngoja nikufundishe kidogo, katika biashara kitu muhumi ni faida, faida hupatikana Baada ya kutoa manunuzi toka katika mauzo. Hiyo ndio inaitwa balance of trade.

Kenya mliuzia Uganda $650M, na mlinunua $570M, faida mliyotengeneza ni $80. Tanzania faida tulizotengeneza SDC ni $445M, Hahahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom