chaUkucha
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,382
- 1,212
Mpaka sasa tumeshasinzia na fegi zetu (elimu tulizopokea vyuoni) na ndoto za kuajiriwa zimekufa, ila mpaka sasa hakuna cha ajira tusipokuwa makini fegi tulizonazo (Elimu) zitapelekea kuungua kwa vibanda vyetu ( yaani kupotea kwa malengo yetu mengi yaliyofifishwa na usingizi wa ajira na uliodumaza mawazo yetu ya kufanya maendeleo.