Uchaguzi 2020 Huku ni kupuuza vilio na malalamiko ya watanzania. Nini anataka huyu mgombea urais wa CCM?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,569
50,393
Watanzania wanataka ;-
  • Hali bora za maisha.
  • Ajira
  • Biashara zao zifufuke na kukua
  • Mzunguko wa fedha uwe mzuri
  • Uhuru na haki vitamalaki.

Sasa huyu mgombea pamoja na kwamba watanzania wanapiga kelele kuwa madege aliyo yanunua kwa fedha taslimu yanatufilisi na hayafanyi biashara yoyote bado anaendelea kutoa ahadi ya kuyaongeza endapo atachaguliwa tena. (Hapa chini ni ahadi yake ktk uzinduzi wa kampeni-CCM kule Dodoma 29/8/2020)

Screenshot_20200830-050738_1.jpg

Madege yamegeuka kuwa sehemu ya uvccm kufanyia selfie na group photoshoot.
2499079_20200827_164043.jpg


Tunapaswa kumchagua Rais ambaye atakuwa msikivu. Siyo mjivuni, mwenye kiburi, mwenye kutupuuza, mwenye kukanyaga haki za kikatiba na kiraia.

Tusimchague mtu ambaye yuko tayari kuona watu wanapoteza maisha kwasababu ya vitu.

Maisha Kwanza Vitu Baadaye.
 
biashara kufa ama kukaa vizuri thats all on the management, biashara zenye akili hua zinasamama mda wote, yaani tumeshawachoka na ngonjera zenu: Infact this one can be the most important election sio kwa sababu hatujui tunashinda ila kwa sababu lazima aendelee atake asitake, kwahiyo mvumilie tu hiki kipindi mpaka mnapozeeka hakuna namna
 
sasa huoni umetoa pumba na umejijibu, kwan hizo ndege hazijatoa ajira? alafu mbna mzunguko wa pesa uko fair, infact tsh ndo pesa pekee mwaka huu iliokua head to head na USD, kwa kifupi nenda tu kalale
Huku ndo kukurupuka anakosema mleta mada, Wewe huo mzunguko mzuri wa fedha unakupitia wewe na ndugu zako mliojishikiza Ikulu unadhani hali iko hivyo kwa kila mtu?
 
Huku ndo kukurupuka anakosema mleta mada, Wewe huo mzunguko mzuri wa fedha unakupitia wewe na ndugu zako mliojishikiza Ikulu unadhani hali iko hivyo kwa kila mtu?

mzunguko wa pesa una indicators zake wacha pumba, haimaanishi eti kisa wanaouza maduka wamekosa wateja basi mzunguko uko vibaya, kufilisika kupo hata ukiwa kwenye uchumi mkubwa duniani, kama mm mwananchi wa kawaida naweza kusema mzunguko upo vizuri then probably it is, wewe kushindwa kuendesha biashara sio utusumbue uchumi, as long watu wengine wanafanya biashara zao na wanapata pesa za kujikimu ndo uchumi wenyewe sasa huu:

infact TSH ndo pesa iliosmama na USD mwaka mzima bila kuterereka afrika nzima
 
kwamba kuna mtu amenyimwa kuishi ama: ieleweke tu kwamba hakuna namna utasaliti nchi na bado uendelee kua alive, ukiachana na kwamba anatafutwa na wasiojulikana ila wananchi nao wana hasira nae kiasi kwa kukoswa na mawe! hio ni dhambi
Hakuna awamu watu wameuwawa Kama hii. Mnalijua hilo na linawaumiza Sana, mambo ya hovyo na yakuchekesha mengi yamepatikana awamu hii.
Kivuli chenu kikuu Cha kujifichia ni
--uzalendo
--uchochezi
--ubeberu
--tunamtaka dereva wa Lissu
Uzalendo huo mmeuanza awamu hii? Madudu na maovu yapo awamu hii ya utawala wa washamba(Nape alisema)
 
Back
Top Bottom