Watanzania wanataka ;-
Sasa huyu mgombea pamoja na kwamba watanzania wanapiga kelele kuwa madege aliyo yanunua kwa fedha taslimu yanatufilisi na hayafanyi biashara yoyote bado anaendelea kutoa ahadi ya kuyaongeza endapo atachaguliwa tena. (Hapa chini ni ahadi yake ktk uzinduzi wa kampeni-CCM kule Dodoma 29/8/2020)
Madege yamegeuka kuwa sehemu ya uvccm kufanyia selfie na group photoshoot.
Tunapaswa kumchagua Rais ambaye atakuwa msikivu. Siyo mjivuni, mwenye kiburi, mwenye kutupuuza, mwenye kukanyaga haki za kikatiba na kiraia.
Tusimchague mtu ambaye yuko tayari kuona watu wanapoteza maisha kwasababu ya vitu.
Maisha Kwanza Vitu Baadaye.
- Hali bora za maisha.
- Ajira
- Biashara zao zifufuke na kukua
- Mzunguko wa fedha uwe mzuri
- Uhuru na haki vitamalaki.