Huku ni kujihami au??!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huku ni kujihami au??!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tripo9, Sep 28, 2009.

 1. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,169
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Unakutana na mwanamke tuseme safarini ama chuo. Ktk mazungumzo ya kawaida anaanzakuchomekea anajamaa (boyfriend). Wala mazungumzo yenu hayakua yakielekea huko. Je huku ni kujihami usije ukachomekea au inakuaje?
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Ni katika harakati za kukutega zaidi ili wajue msimamo wako, kama ni mtu wa kukata tamaa basi hutamfuata tena. Nadhani hii ndiyo gia ya mademu wengi kujua ipi pumba upi mchele miongoni mwetu wanaume...

  We akikwambia kuwa ana boyfriend we mwambie una Girlfriend, hapo inakuwa ngoma droo na mnaanza kutegana kiutu uzima sasa.
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...inategemeana na wewe umelichukuliaje.

  Kama unavutiwa na mali za watu lazima utapandisha stimu,... kama una roho ndogo kama yangu, ni kukusanya majamvi na kujiandaa kuhesabu boriti!

  Ila kwa uzoefu wangu, mara nyingi mrembo anayekimbilia kuropokwa hivyo, au yule anayeweka mbele mbele kidole cha pete,...anakutega!
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Sep 28, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hicho ni kimbelembele na kiherehere tu. Maongezi yalikuwa hayaelekei huko sasa out of nowhere analeta habari za boyfriend wake. What the hell? Umeulizwa? Unless you tell me there was some sort of a segway leading there otherwise it's just foolish.
   
 5. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  unajua hawa watu ni waajabu sana, atajidai ameolewa au ana boyfriend ili uweze kumtongoza, maana anajua akikuambia kuwa anamtu, hivyo hutomuona kicheche utamchukulia kama ni mtu anayejiheshimu kwa kuwa ana jamaa, tofauti na akiwa alone. tena siku umezuka mtindo wa kuvaa pete za ndoa ilhali hana hata mume zaidi ya kuiba wa watu. Mfano kuna mama mmoja ana watoto 2 yeye hajaolewa ila ana pete ya uchumba na ya ndoa, lakini kumbe hajaolewa ana iba tu waume za watu.

  sasa mathalani akikimbilia mimi ni boyfriend au mume jua kuwa usimuone kicheche, lakini ukweli ni kwamba hakuna lolote anasubiri gia yako au sitaki nataka
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Sep 28, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Uumm...sikubaliani nawe hapo. Huoni kwamba akikuambia ana mtu utamwacha alone? Huoni kwamba akikwambia ana mume au boyfriend na wewe ukaendelea kumtongoza atakuona wewe ndiye kicheche usiye na maadili wala kuheshimu status za watu?

  Sasa atakukubaliaje wewe wakati umeonyesha kuwa huheshimu hata kidogo kuwa yeye kaolewa au yuko kwenye uhusiano?

  Mwanamke yeyote wa maana hawezi kukuchukulia serious kama wewe mwenyewe hauonyeshi kuheshimu relationship status za wengine.
   
 7. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kuji-promo tu
  hakuna jipya
   
 8. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mwanamke wa maana ni yupi na hasiyekuwa wa maaana ni yupi? Nifahamishwe wajameni
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Sep 28, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mfano, aliyeolewa lakini bado ana entertain advances za wanaume wengine zaidi ya mumewe. Aliyeko kwenye uhusiano lakini bado ana flirt na wanaume wengine. Aliye na wanaume kadhaa kwa wakati mmoja. Anayebadilisha wanaume kama chupi. Asiyejali kama mwanamme ana mke au la.....unataka zaidi?
   
 10. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mkuu 999,

  Mazungumzo ya kawaida ni yapi unayokuwa nayo na mwanamke uliyekutana naye safarini au chuo?
  = = = = =
  999: "Dada Samahani unaitwa nani..."

  She: "Asha

  999: "Nashukuru kukufahamu mimi naitwa 999... mwenyeji wa JF...."

  999: "Unasafiri kuelekea wapi (safarini), unafanya kazi/umemaliza shule wapi(chuoni).."

  She: "Mbeya.... Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Mbarari/Malangali High School"

  999: "blah blah blah (Nimesoma xyz, nilikuwa naishi abc...."

  Na hapo ndipo utaambiwa

  She: "nashukuru kusikia hivyo, na miye nina boyfriend, amesoma xyz na anaishi abc..."
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  watu iwa wanatafuta gia tu au starter ya kuanzia mambo flani
   
 12. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nimekupata sasa Mhe.
  Kwa maana hiyo kuna wanaume pia wasiokuwa wa maana ambao wana tabia sawa sawa na ulizozitaja hapa? Au kuna exceptional kwa wanaume?
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Sep 28, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ina apply kwa wote hata na ma hermaphrodites
   
 14. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
   
 15. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hapa umekaza mwana!
   
 16. s

  seer Member

  #16
  Sep 30, 2009
  Joined: Apr 2, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  999: Na mimi nina girlfriend anaishi xyz anasoma abc ndio naenda kumpa hi!

  ucheki itakavomfanya mpoleeeeee!
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
   
Loading...