Huku ni kudanganyana tu>>>

D 007

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
206
147
Naamini kila mtu anapenda kupendwa na mpenzi wake au anayekufanya uwe na raha mara zote bas huyo ndiye kipenzi kwako,lakn hapa namaanisha malovee haswaaa!hawa dada ze2 sikuhizi wana cm nzuri sana ku2shinda hata sisi na zkiwa na uwezo wa internet hiyo sii mbaya hongereni,kwahivyo bas utakuta ana BBM,TWITTER,FB?WHATSAPP,...TANGO na nyinginezo,alafu kila network yake ina wa2 tuseme kwa hesabu la chini sana ni mia500 na walio online ni mia mia,sasa unapokutana naye faragha yani umemuita m2lie kwa maongezi au mipango yenu,utakuta yeye masaa yote anachat yani yupo bz kinoma noma na kama ana cm mbil nyingine ina extreme msg za bure nako anachat bila hata kuona haya,nasi kwa wapenz tu hata rafiki wakawaida wakike,huku akijifanya kwenda sawa na wewe kimaongezi ili uone kanakwamba hamna tofauti yeyote kati yenu huku cm zote zikiwa silents vidole tu ndo vyaongea,lakn hata akiwa online siku ambazo hamkutani unapomtumia msg hakujibu kwa mda husika au hujibiwi kabisa,unaweza tuma msg yako saa4 asubuhi ukajibiwa sa5au6 mchana na bado unamuona oline,ukimuulza mbona unachelewa kunijibu utaskia baby nilkuwa online lakn bz nafanya shughul nyinge ila cm ipo tu online,ila unapokuja kukutana naye ndo unagundua kumbe huwaga unapigwa changa la macho na ni wepesi sana kusahau wanachosemaga na ndo uzuri wa uongo coz hujitengaga na ukweli daima,swali langu kwao ni... je cm sikuhizi imekuwa ni bora kuliko mpenzi wako?au uliye kutana naye kimaongezi?je hivi unataka kumfanya mpenz wako akuamini?je kwani huyo mpenzi wako au rafiki naye anashindwa kuingia nakuchart kama wewe?je kuna haja ya nyie kuonana au kuwa wapenz kama kuna kuchart tu?maana nibora mkawa mnachart tu kuliko kuonana na mwenzako maana mkionana we saa zote upo bz na cm yako,mkiachwa mnasema boys wanapenda kutuchezea hawana mapenzi yakweli,hayo mapenzi yakweli unayataka kutoka wap?kama wewe ni mbabaishaji?sisi si mabwege au mapoyoyo tunajua kupenda nakujali lakini kama hueleweki nani atadili na wewe?jirekebisheni acheni hizo!
 
Hao ndio huwa nawapenda mimi,,nawafanya wa kimichezo zaid,,yan ni wa kuwala sambusa tuh na kuwaacha,,

wife material karne hizi ni nadra sana
 
hutokea kwa jamii ya leo mmmh mtu kila saa yupo busy kwenye simu anachat tuuuuu yaani inakuwa kero maana ww unaongea yeye na simu. ila thats life
 
mkuu hiyo imetokea!! ukimuuliza
"mbona upo busy na sim wakati tumekuja hapa kwa mazungumzo?"
anakujibu:- "haya zungumza sasa!!!!!"
huku kakukodolea macho.

Kilichofuata nililipa bili nikasepa!!!!!!!
 
Naamini kila mtu anapenda kupendwa na mpenzi wake au anayekufanya uwe na raha mara zote bas huyo ndiye kipenzi kwako,lakn hapa namaanisha malovee haswaaa!hawa dada ze2 sikuhizi wana cm nzuri sana ku2shinda hata sisi na zkiwa na uwezo wa internet hiyo sii mbaya hongereni,kwahivyo bas utakuta ana BBM,TWITTER,FB?WHATSAPP,...TANGO na nyinginezo,alafu kila network yake ina wa2 tuseme kwa hesabu la chini sana ni mia500 na walio online ni mia mia,sasa unapokutana naye faragha yani umemuita m2lie kwa maongezi au mipango yenu,utakuta yeye masaa yote anachat yani yupo bz kinoma noma na kama ana cm mbil nyingine ina extreme msg za bure nako anachat bila hata kuona haya,nasi kwa wapenz tu hata rafiki wakawaida wakike,huku akijifanya kwenda sawa na wewe kimaongezi ili uone kanakwamba hamna tofauti yeyote kati yenu huku cm zote zikiwa silents vidole tu ndo vyaongea,lakn hata akiwa online siku ambazo hamkutani unapomtumia msg hakujibu kwa mda husika au hujibiwi kabisa,unaweza tuma msg yako saa4 asubuhi ukajibiwa sa5au6 mchana na bado unamuona oline,ukimuulza mbona unachelewa kunijibu utaskia baby nilkuwa online lakn bz nafanya shughul nyinge ila cm ipo tu online,ila unapokuja kukutana naye ndo unagundua kumbe huwaga unapigwa changa la macho na ni wepesi sana kusahau wanachosemaga na ndo uzuri wa uongo coz hujitengaga na ukweli daima,swali langu kwao ni... je cm sikuhizi imekuwa ni bora kuliko mpenzi wako?au uliye kutana naye kimaongezi?je hivi unataka kumfanya mpenz wako akuamini?je kwani huyo mpenzi wako au rafiki naye anashindwa kuingia nakuchart kama wewe?je kuna haja ya nyie kuonana au kuwa wapenz kama kuna kuchart tu?maana nibora mkawa mnachart tu kuliko kuonana na mwenzako maana mkionana we saa zote upo bz na cm yako,mkiachwa mnasema boys wanapenda kutuchezea hawana mapenzi yakweli,hayo mapenzi yakweli unayataka kutoka wap?kama wewe ni mbabaishaji?sisi si mabwege au mapoyoyo tunajua kupenda nakujali lakini kama hueleweki nani atadili na wewe?jirekebisheni acheni hizo!

hiyo tabia ni total lack of respect. alafu nyingine ni ile ya kuwekeana appointment alafu demu anakuweka wee. ujinga tuu huo eti ah yeye sii ndio anataka K yangu wacha aifanyie kazi...dawa moja tuu una mgegeda na kusepa wacha waseme wanaume tuna tamaa lakini na wao ujinga wao ndio unatufanya tumege na kusepa
 
Mimi huwa nakataza kutumia simu, either ifungwe au call zisipokelewe kabisaa,
kwa sababu sitakuwa na furaha kuona maongezi yakatishwe kwa simu,....
Yani hata ktk baadhi ya sehemu kikazi hupaswi kutumia simu kabisaaaaa,
only land line for organization purpose
 
Ndo maana dem asiyetumia kilevi mi sipatani naye kabisa. Dem mkata maji ukiwa naye anakuwa busy kila round isimpite, muda si muda anadebela unamtanguliza kwenye chumba kumshughulikia. Hawezi kukumbuka mamitandao yake wakati kashayatinga kichwani. HABARI NDO HIYO!
 
Ukiwa na mpenzi wako faragha na yuko busy na simu, simply hachukulii serious ya mahusiano hayo na pia usiamini anayeweka simu silent.
 
Mapenzi ya siku hizi homa tupu yaani.Ningelijua mapema ningekuwa padri.
 
Si wanawake tu hata wanaume unakuta mtu ndo yuko kabisa juu ya mwanamke anajaza upepo eti kisa simu ya kazin au biashara imeingia hawez kuacha kupokea bas anapokea huku mashine iko ndani ya k.yaan inakera sana akimaliza kupokea sorry beb c unajua tena....
 
Kudadek huyo unampushia mbalii...
 
Back
Top Bottom