Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,606
- 696,720
Inauma mno niko Manzese huku sandton bar, ni pazuri na pana lodge nzuri tu pia, kuna mchuchu nilikutana naye jana jioni akaomba tukutane hapa leo, nimeitikia wito lakini kinachokera na kuudhi mno kaja na timu ya mashostito wamekuja kumgidia.
Hawanywi bali wanamwagia tumboni round 3 tu, nimeshakata elfu 60, na hawana dalili ya kulewa wameagiza michemsho na nyama choma, meza imechafuka.
Bar nzima wanasikika wao, mavazi yao mtihani, juke box wamelimiki ni taarabu kwa kwenda mbele, naitwa majina yote matamu,mfukoni nina elfu 75 tu, naangalia jinsi ya kuwatoka.