Huku ndiko elimu yetu ilikofika

1480422847173.jpg
 
Mbona ameeleweka au ndio kujitoa ufahamu
qt miaka mitatu wa nne upo chuo
lugha za matangazo hizo
 
Tunapoteza sana muda mwingi shulen bila sababu ukifuata utaratibu wa elimu yetu ukiwa na miaka 24 ndio unakuwa na degree moja wakati nchi za wenzetu miaka 24 yuko kazini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom