Mwigamba son
Member
- Jan 11, 2012
- 27
- 6
kwa mujibu wa tangazo la nbs mwisho wa kuwasilisha fomu za maombi ya kazi ya muda ya sensa ilikuwa ni tarehe 25/7/2012 kali ya mwaka ni pale nilipofika ofisi ya jiji mwanza na kukuta tangazo lililopambwa kwa nembo ya sensa 2012 likiwa limeambatana na tangazo lifuatalo '' kwa wale walioomba kazi ya ukarani wa sensa mwisho wa maombi ilikuwa ni tarehe 24/7/2012 tunaomba radhi kwa usumbufu''. kutokana na tangazo lao hilo lililokinyume na tarehe elekezi ya nbs mwanza wamekiuka utaratibu na kuwanyima fursa wale waliopeleka maombi yao tar 25/7/2012. Na mpaka sasa japo zoezi la mafunzo ya sensa litaanza jumatatu tar 6/8/2012 hapa mwanza majina hayajabandikwa huenda watu wa jiji wamekwisha wapa watoto wao kazi hizo maana ikiwa siku zimekwisha usaili utafanyika lini?