Huku mtaani Rais Samia hakubaliki kivile, Upinzani wangekuwa na Mikakati 2025 wangeichukua nchi

Hoja yako kuwa waliomkubali JPM walikuwa tu maskini na wasiokuwa na elimu ya kutosha ni dhaifu sana. Na tafsiri ya udikteta ni subjective. Yet nakubaliana na wewe kuwa Mama hapendwi sana hata kaskazini ambapo wengi walimpinga JPM. Sababu sio za kuwa mwanamke bali nchi inarudi JPM alipotutoa - ufisadi, uzembe kazini, matumizi mabaya ya resources, kutowapa wanyonge kipaumbele, kuwapigia magoti wazungu na kutafuta sifa zao ili kupata hela yao huku tukiiuza nchi yetu. Na kusuasua kwa miradi ya kimkakati. Imagine nchi inarudi kwenye mgao wa umeme na maji!!! Mama anashindwa kazi.
 
Back
Top Bottom