Huku Moshi kumejaa sana, mzidi kumiminika

Hatuwezi acha Mila zetu na mababu anayedharau Mila za kwao ana matatizo ya akili na mental slavery.
Sasa Nini maana ya elimu? Kwahyo watu waendelee kufanya FGM, kurithi wake, kukandamiza wanawake kwasababu ya Mila Za mababu??
Hao mababu hata kusoma Na kuandika hawakujua Na waliamini miti Ni Mungu inayostahili matambiko.
Nyie mmesoma ila hamjaelimika
 
Kwetu hatufanyi female genital mutilation kwani wachaga ni wamasai Hadi wakekete wanawake?
Hafu wachagga wanawake wanapewa sana kipaumbele sana hamna mambo ya discrimination kabisa.
Mila nzuri ni za kuenzi mababu sio nyie mnalogana mtu akijenga huo ni uchawi mubaya, mtu unafanya matambiko Mungu akulinde mwaka mzima na biashara iende vizuri Hilo tambiko zuri, wewe unaona baya kwa kuambiwa na wazungu ila Mila za mababu ni nzuri sana
 
Tometo tomato Wewe unatetea matambiko wamasaai wanatetea FGM zote mila za mababu...wewe unatafuta visababu za kuwatetea mababu zako lakini Kukutana kama kumbikumbi ili kutambika ni tabia barbaric/uncivilized
 
Mimi sio ila kwao.Kila mara huwa naendaga na rafiki yangu Rangya ni wa Machame kwake panaitwa kalia karibu na uzio wa sekondari ya Machame.Hata kipindi hiki 23DES.Tunaenda ila kaniambia hatutapita mashine tools,ila tutapitiliza tupite barabara ya Masama ili tuchukue nyama huko maana huko wanachinja ngombe walionona.Nilipomuuliza barabara vipi kwa sababu wote madereva,kaniambia lami mpaka KCU.Aiseee kaniacha hoi.

Mimi kwetu siwezi kwenda mchana nikarudi.Nitajuta kwa nini nimekwenda.Wataalamu wakiniona duuu,.Nataka niwaambie hawa wenzetu,tutabaki tukisema wanakwenda kutambika.Ni kweli wanakwenda kutambika,lakini sio hiyo mitambiko unayowaza wewe.Ila.

1.Wanatimiza maandiko ya imani yao ya Kikristo kutoka kwenye kitabu cha biblia.Kasome utaona.

2.Wamefanya kazi kwa bidii,kwa nguvu zao zote,wamewekeza wanakwenda kupumzika.

3.Wanakwenda kusalimia wazazi,babu na bibi na wengine wa familia waonane uso kwa uso simu pekee haitoshi.

4.Wanakwenda kusherehekea siku kuu wale,wanywe wakutane pamoja.

5.Wana mahali pa kushukia.Kwa maana kwamba wananyumba zao wenyewe wamejenga.Hawalali hotelini au kwa wazazi au kwa ndugu,la,wanalala nyumbani kwao.Funguo za nyumba yake ziko hapo kwenye gari.

6.Anapeleka zawadi kwa babu,bibi,shangazi na majirani.na anapoondoka,lazima aache chochote.Hapa ndipo mtambiko wake ulipo,Kwa sababu,akiondoka tu,Babu anasimama kwa furaha,bibi naye yupo hapo na wengine babu anasema Mungu akubariki sana,ufike salama,ukafanikiwe manangu na maneno ya baraka kibao,Bibi naye hivyo hivyo,baba na mama naye hivyo hivyo (Aisee mpaka unaona wivu)

Hivi kweli namna hii unategemea mangi asifanikiwe? Akirudi tu mjini,kinachanganya mbaya tunaaza,oh ametoka kutambika oh mara freemason.Siri ni hiyo.Yapo mengi.

Kwetu sasa.
1.Ni maandiko gani yanayoweza kunishawishi niende kwetu.

2.Kwetu maisha pamoja na kwamba kipato ninacho,siwezi kwenda kwetu mchana nionekane.Ni shida najitafutia,nenda usiku alfajiri inakukuta mjini.

3.Nitashukia wapi labda,sina nyumba huko kutokana na mazingara yenyewe.

Nitaendelea.
Umeongea ukweli ila kwa wengine ni mchungu,kuna watu wakiondoka kwao huwa hawarudi hata kukiwa na msiba
 
Nakujua wewe laiyoni
Utopolo acha wivu na tamaduni za watu kama huko kwenu mnalaana ya kukutana usiambukize wengine

Chuki husda wivu dharau havisaidii jifunze kwa lililo jema kwa mwenzako
Ndiyo maana mnazunguka na magovi hadi karne hii 21
achana na huyo pimbi ana matatizo
 
Huu mji kumbe una watu balaa leo ni December 21 kumejaa hivi jee ikifika December 24 hali itakuaje?

Wachaga shikamooni

Mimi ndugu yenu nilitangulia humu, tokea juzi nilikuja kuandaa mazingira kabisa, nimetulia hapa Machame hapa ndo nyumbani napata vitu viwili vitatu nimepanga nitakaa hapa hadi January huko

Nyumbani ni nyumbani....

Naombeni mzidi kumiminika pandeni hata tren.....".Oshen ken mbon ni"...."lurishe mburu, lurishe ng'umbe, lurishe nguku"...."

Nawasalimia kwa jina la huku
Krismasi lomshike Mekuu mimi nko hapa njia panda tunapata kitimoto na Masanga niko na Familia
 
Tometo tomato Wewe unatetea matambiko wamasaai wanatetea FGM zote mila za mababu...wewe unatafuta visababu za kuwatetea mababu zako lakini Kukutana kama kumbikumbi ili kutambika ni tabia barbaric/uncivilized
Hizo FGM si wewe umeleta hapa, jamani matambiko hayatakaa yaishe kwetu, matambiko mabaya ni Yale ya kuloga na kurudishana nyuma, matambiko ya maendeleo ruksa
 
Huu mji kumbe una watu balaa leo ni December 21 kumejaa hivi jee ikifika December 24 hali itakuaje?

Wachaga shikamooni

Mimi ndugu yenu nilitangulia humu, tokea juzi nilikuja kuandaa mazingira kabisa, nimetulia hapa Machame hapa ndo nyumbani napata vitu viwili vitatu nimepanga nitakaa hapa hadi January huko

Nyumbani ni nyumbani....

Naombeni mzidi kumiminika pandeni hata tren.....".Oshen ken mbon ni"...."lurishe mburu, lurishe ng'umbe, lurishe nguku"...."

Nawasalimia kwa jina la huku
Mi najuaga unaishi Iran
 
Back
Top Bottom