Huku Moshi kumejaa sana, mzidi kumiminika

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,887
Huu mji kumbe una watu balaa leo ni December 21 kumejaa hivi jee ikifika December 24 hali itakuaje?

Wachaga shikamooni

Mimi ndugu yenu nilitangulia humu, tokea juzi nilikuja kuandaa mazingira kabisa, nimetulia hapa Machame hapa ndo nyumbani napata vitu viwili vitatu nimepanga nitakaa hapa hadi January huko

Nyumbani ni nyumbani....

Naombeni mzidi kumiminika pandeni hata tren.....".Oshen ken mbon ni"...."lurishe mburu, lurishe ng'umbe, lurishe nguku"...."


Nawasalimia kwa jina la huku
 
Huu mji kumbe una watu balaa leo ni december 21 kumejaa hivi jee ikifika December 24 hali itakuaje?

Wachaga shikamooni

Mimi ndugu yenu nilitangulia humu, tokea juzi nilikuja kuandaa mazingira kabisa,nimetulia hapa Machame hapa ndo nyumbani napata vitu viwili vitatu nimepanga nitakaa hapa hadi january huko


Nyumbani ni nyumbani....

Naombeni mzidi kumiminika pandeni hata tren.....".Oshen ken mbon ni"...."lurishe mburu, lurishe ng'umbe, lurishe nguku"...."


Nawasalimia kwa jina la huku
Ndio mmetuletea ya mafua ya daslam!!
 
Nynyi ndo mnaetuharibia nchi kuendekeza matambiko, ndio maana mvua hazinyeshi!!
 
Back
Top Bottom