thadei kimambo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 220
- 126
Huku kwetu kuna joto sana hadi ukitoa noti ya elfu moja mfukoni utaona picha ya Mw.nyerere kavua shati.
huku kwetu kuna joto sana hadi ukitoa noti ya elfu moja mfukoni utaona picha ya mw.nyerere kavua shati.
note ya elfu 10 kuna picha ya mwl nyerere?
Huku kwetu kuna joto sana hadi ukitoa noti ya elfu moja mfukoni utaona picha ya Mw.nyerere kavua shati.
Som kwa umakini. kaandika elfu moja.