Huku Bukoba kuna nini? Mbona kuna abiria wengi sana wa ndege?

instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
11,381
14,186
Abiria 2400 hutumia ndege kila mwezi .

Huku mpaka sasa ndege zote zilikuwa zimejaa mpaka tarehe 15!!.

Serikali sasa inajuta kujenga uwanja wa chato Bora ingepanua uwanja wa ndege bukoba.


Screenshot_20200111-065840.jpeg
Screenshot_20200111-065902.jpeg
Screenshot_20200111-065925.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ngoja aje rafiki yako Luambo makiadi!...dah...ila kiuhalisia wako sawa..maana kwenda dar ni route ndef sana
Hao ni wachaga wenye wivu.hakawii kusema Kilimanjaro international airport wakati wanaoenda huko ni watalii tupu.


Huku wao wachaga wakijazana kwenye treni na mabus tena December ndo mpaka daladala za buza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom