Hukosei Katika Kuumba Kwako

KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,154
5,680
1482793450189.png
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Huyo cha mtoto kwanza hana pozi mi_nywele imemzidia uzito ni kama kalazimishwa kukaa.. wapo bana wenye mi_shape yao rudi ukajipange upya
 
Duh mkuu umeibua malaya wa badoo...usiombe kukutana naye huyo unaweza kimbia...unachokiona hapo si uhalisia wa utakayoyaona hapo baadaye
 
Huyo cha mtoto kwanza hana pozi mi_nywele imemzidia uzito ni kama kalazimishwa kukaa.. wapo bana wenye mi_shape yao rudi ukajipange upya

Kila jicho na linavyoona usililazimishe jicho la mwenzako kuona uonavyo wewe jmn. Khaaaa.
 
Hata hesabu shuleni ilikuwa na mashape na maumbo mengi,na bado tuliikimbia!!!!!

Wenye kuijua na kuiweza wanaifanya vizuri tu na hawaachi kitu marks zote wanapewa ati.
 
Aliumba ili iwe mali ya huyo aliyeumbwa. Kwa nini unafukunyua mali za watu na kuziweka bayana?

Nai Mollel ingekuwa imefichwa sjui ningeionea wapi mie ukiona hivyo sio siri tena hiyo iliwekwa na imeshakuwa bayana tayari mwaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom