Huko tuendako watu wa chama fulani wataanza kufungua kesi kutotambua wanachama wao kujiuzulu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Unaweza ukashangaa hiyo heading lakini kwa hatua waliofikia hawa wenzetu kwao kila kitu kinawezekana.

Wanaweza hata kuficha barua za wanachama wao kujiuzulu na kusema hawajakabidhiwa barua hizo.

Wanaweza kwenda mahakamani kupinga chaguzi za marudio kwa hoja waliojiuzulu uanachama hawajafuata taratibu.

Hawa jamaa hivi sasa ni kama akili zimehama au zimeenda likizo na kwakweli tutarajie vituko visyo na mwisho.

Nimegundua kumbe si binadamu tu ambae akizeeka anarudi utotoni, kumbe hata vyama fulani!!

Sasa sijiu tutafika tunakokwenda kwakweli napata wasiwasi maana huu uze wa vyama vingine unakuja vibaya kupita maelezo!!

Ama kweli uzee ni shida!
 
Zitto alisema tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni wa madaraka kwa hiyo usishangae vituko na vihoja vyao pamoja na usanii wao
 
Ukikaa nchale, ukisimama nchale, ukichuchumaa nchale ukitembea nchale, duh.......
 
Chadema mnatongozeka kirahisi mno,

Nasema tena, chadema mnatongozeka kirahisi mno!


Sasa hivi ccm hawapati shida kabisa kupandikiza mtu upinzani.. Hii ni aibu
 
Chadema mnatongozeka kirahisi mno,

Nasema tena, chadema mnatongozeka kirahisi mno!


Sasa hivi ccm hawapati shida kabisa kupandikiza mtu upinzani.. Hii ni aibu
Wako poa sana kama Malaya wa barabarani,ukishusha kioo cha gari umemnasa,tena akaa mbele
 
Back
Top Bottom