Huko Spain watu 738 wameaga dunia kwa masaa ishirini na minne. Wakenya na Watanzania tuwe makini ili majanga haya yasitupate

BREAKING: SPAIN SURPASSES CHINA’S CORONAVIRUS DEATH TOLL AS CASELOAD NEARS 48,000
By
Laurence Dollimore (Digital Editor)
-
25 Mar, 2020 @ 11:47
SOME 3,434 people have died as a result of coronavirus in Spain.

According to new statistics from the health ministry, COVID-19 has shown no sign of slowing down as the caseload reached 47,610 as of this morning.

It’s a jump in cases of around 8,000 since yesterday, which saw around 39,500 confirmed cases.

The numbers mean more people have died from the virus in Spain than in China, where it originated.

Of the total number of confirmed cases, 3,166 are currently in ICUs while some 5,367 have been cured.

The Madrid region continues to be the hardest-hit with 14,597 cases, followed by Catalunya with 9,937 cases and the Basque Country with 3,271.

However Catalunya saw the biggest jump in cases between Tuesday and Wednesday

BREAKING: Spain surpasses China's coronavirus death toll as caseload nears 48,000 - Olive Press News Spain
 
Cool down, Kenya shall never get to this point, you are better in all walks of life

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika Dunia Ina zidi kutikisika

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni jambo gani serikali zetu zinaweza kufanya ili kuzuia mamia ya watu kufa kila siku kwa ajili ya Corona? Jana Italy watu 743 walikufa kwa masaa 24. Leo spain watu 738 wameaga kwa masaa 24. Tutafanya nini ili kuzuia haya majanga kufika kwetu?
mungu keshatupigania maana hapa ushaingia ila kasi ya kusambaa ni ndogo sana na vifo hakuna mpaka sasa na ukiangalia hapo huo ugonjwa umeiingia siku chache nyuma ndani ya italia...ukiangalia africa kusini pia wagonjwa wana kama week mbili hivi ila mungu anawasiadia inasikitisha ila kungu yuko upande wetu pamoja na hii campaign ya kujikinga tuendelee nayo
 
Sisi wenyewe tumejiandaa kivipi kabla kusubiri serikali, nimepiga raundi mtaa kucheck watu walivyojipanga, hali ni kawaida tu watu hawaogopi kukusanyika makundi, subiri tuanguke wachache ndio tutatia akili na kuelewa hiki kitu hakina mzaha.
Mpaka sasa Waafrika hatujafa, hivyo tunasubiri kionyeshe meno na makucha ya kweli kwenye hili bara ndio tutakielewa.
Hehehe!! Nachelea kusema kama rais wa Tanzania, tusitishane, hiki kitu hakina uhatari mkubwa kwa sisi ngozi nyeusi, maana wote walioathirika hadi sasa hakuna aliyekata roho, labda wachache waliokua na mazagazaga yao ya awali, ila omundu strong aliyekula ugali wa Kiafrika bado anapeta tu.
 
Ukicompare demographic composition ya Africa na Europe .Africa has generally a young population thus deaths will be fewer.
 
Sisi wenyewe tumejiandaa kivipi kabla kusubiri serikali, nimepiga raundi mtaa kucheck watu walivyojipanga, hali ni kawaida tu watu hawaogopi kukusanyika makundi, subiri tuanguke wachache ndio tutatia akili na kuelewa hiki kitu hakina mzaha.
Mpaka sasa Waafrika hatujafa, hivyo tunasubiri kionyeshe meno na makucha ya kweli kwenye hili bara ndio tutakielewa.
Hehehe!! Nachelea kusema kama rais wa Tanzania, tusitishane, hiki kitu hakina uhatari mkubwa kwa sisi ngozi nyeusi, maana wote walioathirika hadi sasa hakuna aliyekata roho, labda wachache waliokua na mazagazaga yao ya awali, ila omundu strong aliyekula ugali wa Kiafrika bado anapeta tu.
Mu-Afrika athari ya kitu haipimi kwa kuchakata akili au kwa mifano hai anayoiona, Mu-Afrika athari ya kitu anaipima mpaka hicho kitu kiguse kabisa ngozi yake ndiyo anajuaaa aaahhh! Kisu kinachana ngozi.

Kwa ufupi athari ya kitu Mu-Afrika anaipima kwa maafa yatakayomkumba na kumuathiri ana kwa ana!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom