Huko Pakistan Sheria inamfanya Mume awepo Mkewe anakuwa anatibiwa na Daktari

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
3,983
2,000
1622695189974.png
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,292
2,000
Vip kwenye surgery napo mme anakuwepo?
Kwenye swala kama la kujifungua ni vizur na mme akaruhusiwa kuwepo ili kumtia moyo mwenzake
Kuwepo mume wakati mke akijifungua wala haikatazwi, hata hospitali kubwa binafsi nchi hii hii wanaruhusu.

Tatizo Tanzania Labour ni ukumbi ( Hall ), kwahiyo ukiruhusiwa kuingia utaona uchi wanawake wengine ambao hawakuhusu.
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,260
2,000
Mara nyingi wanaomba daktari wa kike kama mgonjwa ni wa kike.
Uko hawana madaktari wengi wanawake. Kwanza wengineo wanapinga mwanamke kusoma hasa ngazi za juu kama udaktari. Malala Yousafzai ni dogo wa kike alikuwa anasoma akapigwa risasi na wenye msimamo mkali kwamba wanawake wasisomeshwe.

Hapo ukisubiri mwanamke ndio atibu unasubiri kifo
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
52,566

Labda unaongelea Afghanistan lakini Pakistan Ina madaktari wengi sana wakike na wakiume. Wanapata ajira mpaka Ulaya na Arabuni.
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,115
2,000
Mara nyingi wanaomba daktari wa kike kama mgonjwa ni wa kike.
ni wivu wa kishamba sana huu, daktari anaziona izo mbututu kila siku hadi zinakinai, anazishika, piga madole fanya chochote wakati wa kutibia, cha mkeo ndio kitakuwa special sana? mwanamke akienda hospitali usifikie hayo. ukitaka kujua hilo nenda leba ukaone watu walivyochanganyikiwa na uchungu yuko tayari doctor afanye chochote ili mtoto atoke.
 
grand millenial

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
1,957
2,000
Ukishuhudia mkeo anajifungua na kama unampenda kwa dhati hutataka kuzaa tena. Utakacho kiona ni kama dawa ya panga uzazi. Kma umechoka kuzaa nenda kashuhudie.
Acha roho ndogo mkuu kinachokuogopesha ni jinsi mbususu inavyofumuka baada ya kutoa kichanga au jinsi wanavyofanya manual removal ya placenta?
 
Patra31

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
3,026
2,000
Ukishuhudia mkeo anajifungua na kama unampenda kwa dhati hutataka kuzaa tena. Utakacho kiona ni kama dawa ya panga uzazi. Kma umechoka kuzaa nenda kashuhudie.
Hamna mbona wanawake wanaopata hizo tabu lakin bado watataka kuzaa tena? Yale ni mateso ya mda mfupi tu
 
Patra31

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
3,026
2,000
Sasa pale mkeo anataka kupimwa mfano kansa ya shingo ya kizazi na ww mme wake upo hapo unaona anapanuliwa miguu tena unakuta anaempima ni daktari wa kiume. Ndio utajioba mjinga kuingilia taaluma za watu
 
comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
3,983
2,000
Hamna mbona wanawake wanaopata hizo tabu lakin bado watataka kuzaa tena? Yale ni mateso ya mda mfupi tu
Mkuu tusiandikie mate- wewe ukifika wakati nenda kashuhudie mwenyewe. Hivi hujiulizi kwa nini wazungu wanazaa katoto kamoja tu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom