Huko kwenu kuna umeme? Naona Ukonga nzima hakuna

Vipi huko wenzetu hali ya umeme?
TAARIFA KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME
-
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kukatika kwa umeme katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Ilala na Temeke, jijini Dar es Salaam kesho, Oktoba 22 kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi 10:30 jioni
-
Maeneo yatakayokumbwa na usumbufu huo ni pamoja na Buguruni, Vingunguti, Tazara, Gongo la Mboto, Ukonga, Mombasa, Mzambarauni, Pugu, Yombo, Kitunda, Machimbo, Mwanagati, Mbondole pamoja na baadhi ya maeneo ya Tabata
 
Back
Top Bottom