Huko Kitchen Party huwa mnafundishwa/wanafundishwa nini?

kitchen pat ni sherehe ya kukusanya vyombo. nlickia wadada wa zaman walikuwa wanatawa kabla ya kuolewa. ktk kutawa hukaa kwa muda flan ndan bila kutoka hapo ndan ndo anapewa k-pat ya nguvu anafundwa anafundika. bt nw day wadada wanapga misele had cku yenyewe ya haruc unamkuta bdo yupo mtaan akitoka hpo ndo aenda kufunga ndoa. ndo mambo ya utandawaz yana faida na hasara pia. tushasahau km kuna kitu kutawa kwa bi haruc mtarajiwa cku hz!


Dah, sasa hizi ndoa si zitakuwa vituko? Maana kama mtu unaandaa sherehe ili tuu upate vyombo

inakuwa mambo ya ajabu kabisa!
 
Back
Top Bottom