Huko Kenya, Mbilikimo waunda Chama chao Kutetea haki zao.

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
17,638
14,779
Nimeisikia BBC asubuhi.
Baada ya mbilikimo kuendelea kubaguliwa katika jamii, wameamua kuunda chama chao kitakachokuwa kinawasemea!
Hii imekaa vyema kwasababu hili ni kundi lililosahaulika na huwa wanaonekana kama waigizaji tu katika jamii!

Joseph Maina (mbilikimo) ambaye pia ni muasisi wa chama hicho, anasema yeye ana shahada ya IT lakini mara nyingi akienda kwenye interview huwa hathaminiwi.

Amka na BBC.
 
ni kweli hawa binadamu hawana mtetezi hata katika vyombo vya uwakilishi hapa afrika.
 
Kuna mmoja wamepost picha yake kule JF photos yuko ndani ya combat.. utampenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom