HUKO FIJI YA KALE ILIKUA MUMEO AKIFA BASI NAWEWE UNANYONGWA.

FM facts

Member
Mar 16, 2019
45
88
Dini Kubwa sana Huko Visiwa vya Fiji ni Ukiristo (70%), Kabla ya Kuja kwa Dini Walikua na Mila Ambapo Chief/ Kiongozi wa Kabila Akifa basi nawe Mke wa Chief Unanyongwa, Mbaya zaidi Aliyetakiwa Kukunyonga ni Kaka yake wa Damu.

Yaani Chief Akifa tuu, Kama wewe ndo Ulikua Mkewe basi kwa Hiari yako Unamfata Kaka yako Unamwambia Akunyonge, Taratibu zinafuatwa Unanyongwa.

Moja kati ya Sababu Kubwa Iliyowapelekea Kutekeleza Mila hii ni kwamba Waliamini Kwamba kama Chief Atakufa pekeake bila Mkewe basi Hawezi Kufika Mbinguni.

Inaelezwa Fiji Kulikua na Machief Wengi na Kila Chifu Alikua anaeweza kuwa na Wake hata 50! Lakini Hawakujali ni Athari gani itatokea au ni Mateso kiasi gani Watawaachia Watoto wao kwa Kutekeleza Mila hii.

Kumbuka Fiji kuna Visiwa Zaidi ya 300! Na Idadi ya Watu Visiwani Humo Inafika Laki 9.

Tufollow Instagram @fm_facts

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom