Huko Dubai sasa Wanaume wanaishi kwa Amani kabisa. Hi Fatwa ije na kwetu TZ

Sijawahi kupata jibu sahihi hasa kwanini mke wangu ninae-share nae kitanda kimoja na kunipikia chakula asishike simu yangu,ni sababu gani itakayonisukuma kufanya hivi!

Simu zangu zote mama anazijua password zake,hata mimi naijua password ya simu yake kwanini muishi mkijengeana mashaka?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Ndoa yako ina muda gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anacholenga kuzuia ni simu isisomwe au uovu usionekane? Kama simu ina mazuri tu, anazuia ya kazi gani? Badala awaambie wanaume wasifanye mabaya anawaambia wanawake wasisome simu? Mbona fatwa imekaa kushoto kushoto?
Mimi namuunga mkono na miguu mufti
Simu ni faragha ya mume na katika imani ya kiislam mwanaume anaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja, kwa hio mke anapopekua simu ya mume wake pia hua anaingilia faragha ya mke mwenzie.
Mke kupekua simu ya mumeo ni haramu
Mume kupekua simu ya mkeo ni wajibu.

Maendeleo hayana chama
 
Hivi mkuu ulishawahi kujiuliza kama mpo ndani usiku wa manane ghafla ukapata tatizo kubwa la kiafya ambalo inabidi watafutwe watu kuja kukupa msaada halafu simu ya mkeo haina credit ila simu yako ina salio la kutosha na huwezi kufanya lolote so itambidi mkeo akahangaike kugonga milango ya majirani kuomba msaada wakati simu yako ina salio tatizo ni hajui password zake?

Hatufanani akili ila mie naona hayo siyo maisha.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Haujaambiwa usimwambie paswad, bali usipekue bila ridhaa yake, hata kama paswad amekujulisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa yako ina muda gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka sita mzee with two kids!

Siyo mingi sana ila nachoshukuru Mungu sijawahi kupata jaribu lolote baya na huwa naamini kwenye ndoa kupata majaribu ni jinsi wewe mwenyewe ulivyojiset{hasa sisi wanaume}.

Mimi simu yangu inapigwa hapo inaonyesha kabisa jina la mwanamke mke wangu ananipa "simu yako inaita" naipokea bila wasiwasi wowote,kiasili nafanya biashala so anajua pia ninao wateja wanawake shida inakuja pale simu inapigwa unaanza kujichekesha chekesha na kuanza kuweka masharti ya kila mtu na simu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa tamaduni zao ni sawa kabisa...

Kwa hapa Tanzania hilo halitowezekana... ila sii ishasemwa kutokuweka nywila kwenye simu yako ni kosa kisheria...

Cc: mahondaw
 
Hivi mkuu ulishawahi kujiuliza kama mpo ndani usiku wa manane ghafla ukapata tatizo kubwa la kiafya ambalo inabidi watafutwe watu kuja kukupa msaada halafu simu ya mkeo haina credit ila simu yako ina salio la kutosha na huwezi kufanya lolote so itambidi mkeo akahangaike kugonga milango ya majirani kuomba msaada wakati simu yako ina salio tatizo ni hajui password zake?

Hatufanani akili ila mie naona hayo siyo maisha.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Kama ni wa kudenja unadenja tuu mkuu. Ndo maana Vodacom wakaweka huduma ya Tafadhali nipigie na Tafadhali niongezee hela. Isitoshe kuna Suala la Tahadhari na kila familia ina namna yake. Angalao kila Mwezi tunabajeti ya Hifadhi ya Fedha katika Mobile Money Account zetu kwa ajili ya Mawasiliano.

Karne hii bado unakwangua vocha? Sishangai ushaafiki kuwa "kila mtu na akili zake".
 
Mr Brighton , hawa wavaa madera ni waislamu na mapadri wako ambao wanakuongoza wewe kanisani , kanzu ambayo wwe unaiita dera ni vazi takatifu , hata yule msela aliyeigiza Yesu kwa kufanya matendo ya Yesu alivaa DERA kuonyesha kuwa Yesu alivaa dera ktk uhai wake . na walifunika nywele zao siku zote , mm na ww sote tunafundishwa kujifunza ustaarabu wao . USIKEJERI VAZI LA MUNGU WA KWELI.
 
Vp mumeo hua unamkagua simu yake.?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
anacholenga kuzuia ni simu isisomwe au uovu usionekane? Kama simu ina mazuri tu, anazuia ya kazi gani? Badala awaambie wanaume wasifanye mabaya anawaambia wanawake wasisome simu? Mbona fatwa imekaa kushoto kushoto?
Wanaume wa Dubai mmezidi uhuni !! Na ya Mke pia iwe haramu isishikwe.

Sent from my HUAWEI VNS-L21 using Tapatalk
 
Yaani hapo kwa kweli mziache tu simu zetu
Ndio maana moja ikaitwa simu ya mezani na nyingine ya mkononi
Kwa hiyo ibaki hivyo

Najua wanawake mnawaza kila kitu kwa hiyo hata bila kuangalia simu unawaza visivyowazika kwa mwanaume

Sent from my SM using Tapatalk
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom