t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 6,335
- 14,643
Ndoa yako ina muda gani mkuu?Sijawahi kupata jibu sahihi hasa kwanini mke wangu ninae-share nae kitanda kimoja na kunipikia chakula asishike simu yangu,ni sababu gani itakayonisukuma kufanya hivi!
Simu zangu zote mama anazijua password zake,hata mimi naijua password ya simu yake kwanini muishi mkijengeana mashaka?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Sent using Jamii Forums mobile app