Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,321
- 11,386
Sheikh mkuu wa Dubai ametangaza kuwa ni Haram kwa mwanamke Kupekua pekua kwenye Simu ya Mumewe bila Idhaa yake. Hii Fatwa ameitangaza na tayari imeshakuwa sharia.
Mwanamke hutakiwi kuangalia simu ya mumeo bila idhaa yake. Labda tu kama unaangalia ikiwa imezimwa unaangalia kava lake likoje au yenyewe inapendezaje mkononi.IKIWA IMEZIMWA LAKINI.
Tunaomba na sheikh wetu huku uangalie jambo hili jema kabisa katika kudumisha mahusiano.akina mama watuachie simu zetu.siyo tunalazimika kwenda kuoga na simu hata kwenye swimming pool.maana ukiacha inchi kavu inakuwa issue. Kwa sasa simu za wanaume wengi inasemakana zimekuwa na password zaidi ya 5 mpaka kuja kufikia kwenye sms,calls,photos,whatsapp app n.k
Jambo hili limesababisha wakati mwingine tuwe tunasahau hata hizo password na kulazimika kuwa consult wataalam wa IT watusaidie.
Tupate Taarifa Kamili.