Huko Dubai sasa Wanaume wanaishi kwa Amani kabisa. Hi Fatwa ije na kwetu TZ

Komeo Lachuma

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Messages
1,104
Likes
1,156
Points
280
Komeo Lachuma

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2014
1,104 1,156 280
Sheikh mkuu wa Dubai ametangaza kuwa ni Haram kwa mwanamke Kupekua pekua kwenye Simu ya Mumewe bila Idhaa yake. Hii Fatwa ameitangaza na tayari imeshakuwa sharia.

Mwanamke hutakiwi kuangalia simu ya mumeo bila idhaa yake. Labda tu kama unaangalia ikiwa imezimwa unaangalia kava lake likoje au yenyewe inapendezaje mkononi.IKIWA IMEZIMWA LAKINI.

Tunaomba na sheikh wetu huku uangalie jambo hili jema kabisa katika kudumisha mahusiano.akina mama watuachie simu zetu.siyo tunalazimika kwenda kuoga na simu hata kwenye swimming pool.maana ukiacha inchi kavu inakuwa issue. Kwa sasa simu za wanaume wengi inasemakana zimekuwa na password zaidi ya 5 mpaka kuja kufikia kwenye sms,calls,photos,whatsapp app n.k

Jambo hili limesababisha wakati mwingine tuwe tunasahau hata hizo password na kulazimika kuwa consult wataalam wa IT watusaidie.

Tupate Taarifa Kamili.
img-20190112-wa0018-jpg.992289
 
Translator

Translator

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Messages
213
Likes
177
Points
60
Translator

Translator

JF-Expert Member
Joined May 19, 2017
213 177 60
anacholenga kuzuia ni simu isisomwe au uovu usionekane? Kama simu ina mazuri tu, anazuia ya kazi gani? Badala awaambie wanaume wasifanye mabaya anawaambia wanawake wasisome simu? Mbona fatwa imekaa kushoto kushoto?
 
Beef Lasagna

Beef Lasagna

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Messages
14,677
Likes
59,923
Points
280
Beef Lasagna

Beef Lasagna

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2015
14,677 59,923 280
Kama ni maamuzi binafsi ya mufti basi sawa wapambane na mufti wao Kama siye tunaopambana na wa kwetu kazi yao kubwa kusubiri muandamo wa mwezi na kutupangia tarehe zao za kufunga na kufungua. Hakuna lingine
 
Bila bila

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
6,139
Likes
8,779
Points
280
Age
40
Bila bila

Bila bila

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
6,139 8,779 280
anacholenga kuzuia ni simu isisomwe au uovu usionekane? Kama simu ina mazuri tu, anazuia ya kazi gani? Badala awaambie wanaume wasifanye mabaya anawaambia wanawake wasisome simu? Mbona fatwa imekaa kushoto kushoto?
Wewe kafanye tofauti Fatwah ikukamate, tunakuomba Mufti wetu uharakishe hii kitu na hapa kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
15,799
Likes
21,485
Points
280
Age
21
R

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
15,799 21,485 280
Sheikh mkuu wa Dubai ametangaza kuwa ni Haram kwa mwanamke Kupekua pekua kwenye Simu ya Mumewe bila Idhaa yake. Hii Fatwa ameitangaza na tayari imeshakuwa sharia.

Mwanamke hutakiwi kuangalia simu ya mumeo bila idhaa yake. Labda tu kama unaangalia ikiwa imezimwa unaangalia kava lake likoje au yenyewe inapendezaje mkononi.IKIWA IMEZIMWA LAKINI.

Tunaomba na sheikh wetu huku uangalie jambo hili jema kabisa katika kudumisha mahusiano.akina mama watuachie simu zetu.siyo tunalazimika kwenda kuoga na simu hata kwenye swimming pool.maana ukiacha inchi kavu inakuwa issue. Kwa sasa simu za wanaume wengi inasemakana zimekuwa na password zaidi ya 5 mpaka kuja kufikia kwenye sms,calls,photos,whatsapp app n.k

Jambo hili limesababisha wakati mwingine tuwe tunasahau hata hizo password na kulazimika kuwa consult wataalam wa IT watusaidie.

Tupate Taarifa Kamili.
View attachment 992289
hata mkawekeana kukatana vichwa, wekeni tu
 
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
4,655
Likes
6,359
Points
280
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2013
4,655 6,359 280
Sijawahi kupata jibu sahihi hasa kwanini mke wangu ninae-share nae kitanda kimoja na kunipikia chakula asishike simu yangu,ni sababu gani itakayonisukuma kufanya hivi!

Simu zangu zote mama anazijua password zake,hata mimi naijua password ya simu yake kwanini muishi mkijengeana mashaka?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
M

mkulima msomi

Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
76
Likes
79
Points
25
M

mkulima msomi

Member
Joined Nov 28, 2018
76 79 25
ije na uku tu.maana inafika mahali mpaka unaingia kukata gogo inabidi uingie nayo tu asije akaishika
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
26,813
Likes
16,989
Points
280
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
26,813 16,989 280
Sijawahi kupata jibu sahihi hasa kwanini mke wangu ninae-share nae kitanda kimoja na kunipikia chakula asishike simu yangu,ni sababu gani itakayonisukuma kufanya hivi!

Simu zangu zote mama anazijua password zake,hata mimi naijua password ya simu yake kwanini muishi mkijengeana mashaka?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Eti simu ya mumeo usiguse kabisa na uiogope kama ukoma duuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kirchhoff

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
3,404
Likes
3,529
Points
280
Kirchhoff

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
3,404 3,529 280
Sijawahi kupata jibu sahihi hasa kwanini mke wangu ninae-share nae kitanda kimoja na kunipikia chakula asishike simu yangu,ni sababu gani itakayonisukuma kufanya hivi!

Simu zangu zote mama anazijua password zake,hata mimi naijua password ya simu yake kwanini muishi mkijengeana mashaka?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mkuu Simu ni Kama Ubongo kila mtu ana wake!
 
Mpini Wa Chuma

Mpini Wa Chuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Messages
1,303
Likes
815
Points
280
Age
32
Mpini Wa Chuma

Mpini Wa Chuma

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2016
1,303 815 280
Dini ilishakamilika yeye anaharamisha kama nani? Mambo hayako hivyo dini inatuambia tusichunguzane sio kuhusu kushika simu Bali hutakiwi kuchunguza yasio kuhusu
 
jebs2002

jebs2002

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Messages
5,849
Likes
3,712
Points
280
jebs2002

jebs2002

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2008
5,849 3,712 280
Kuna wanaume wanakula raha sana kwenye nchi zingine, sijuwi jiwe ataweza kufanya hili pia?! :);)
 
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
4,655
Likes
6,359
Points
280
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2013
4,655 6,359 280
Mkuu Simu ni Kama Ubongo kila mtu ana wake!
Hivi mkuu ulishawahi kujiuliza kama mpo ndani usiku wa manane ghafla ukapata tatizo kubwa la kiafya ambalo inabidi watafutwe watu kuja kukupa msaada halafu simu ya mkeo haina credit ila simu yako ina salio la kutosha na huwezi kufanya lolote so itambidi mkeo akahangaike kugonga milango ya majirani kuomba msaada wakati simu yako ina salio tatizo ni hajui password zake?

Hatufanani akili ila mie naona hayo siyo maisha.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
4,655
Likes
6,359
Points
280
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2013
4,655 6,359 280
Eti simu ya mumeo usiguse kabisa na uiogope kama ukoma duuh

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kutokujitambua tu,mkishakuwa ndani ya ndoa kila kitu ni chenu wote siyo kuanza kubaguana na wengi hawajui mkishaanza kuzuiyana baadhi ya vitu ndo mwanzo wa nyumba kuwa na vurugu zisizokuwa na mashiko.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Forum statistics

Threads 1,250,501
Members 481,371
Posts 29,735,787