Huko Dodoma vipi?....Usalama je?

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,253
11,598
Nakumbuka kuna wetu walikamia safari ya Dom hadi wanataka kutoana macho...

Tulijitahidi kuwapoza na kuwapatia ushauri (kama kawaida ya wazee...ama kweli uzee dawa) ili mambo yaende salama. Sasa babu nasakamwa na mawazo hata usinginzi unakuwa shida. Siachi kujuliuza..hivi hawa wajukuu tuliowatuma Dom, tutakawafungia Novena na kuwawekea mikono wamerudi? Na kama wamerudi wako salama? Wamerudi wote kabisa hata mmoja wao hakupotezwa huko?

Haaaaaaaa......Naomba wanipe jibu, mwenzenu nimechoka kukaa na pressure juu!

Babu DC
 
Basi sema basi mkuu,

Nini kinaendelea huko au uchakachuaji umezidi....Mhhhhh...hata sielewi.
 
Nakumbuka kuna wetu walikamia safari ya Dom hadi wanataka kutoana macho...

Tulijitahidi kuwapoza na kuwapatia ushauri (kama kawaida ya wazee...ama kweli uzee dawa) ili mambo yaende salama. Sasa babu nasakamwa na mawazo hata usinginzi unakuwa shida. Siachi kujuliuza..hivi hawa wajukuu tuliowatuma Dom, tutakawafungia Novena na kuwawekea mikono wamerudi? Na kama wamerudi wako salama? Wamerudi wote kabisa hata mmoja wao hakupotezwa huko?

Haaaaaaaa......Naomba wanipe jibu, mwenzenu nimechoka kukaa na pressure juu!

Babu DC

Mkuu DC...excatly kwa nini pressure inakuwa juu una wasi wasi wajukuu wamechakachua wakabaki kabisa huko? LOL
 
Si unajua tena mzazi? Yaani unaweza kukosa usingizi wakatu mjuu yuko hapo tu nje ya nyumba anapiga story na wenzake.

Mimi nilitegemea wakirudi au wakati wako huko basi wangekuwa wanasalimia babu na bibi zao. Sasa sioni salamu. Hapo sina haki ya kuwa pressure kweli?
 
mkuu bunge halijesha bado

In fact the finest ameonekana anakagua vikuku vya kina dada

Asprin tangu alivoenda Ngwasuma, Kilimani pale, hajarudi hadi leo nasikia kakamatwa na mgogo huko kamweka ndani

MJ1 na Rose80 wapo kwa wamasai, wanachagua chachandu na vikuku,
RR na Baba Gift wamekesha chako ni chako na wameagiza tenga from Singina wanakuja nalo baa mupya

Fidel aliishia chalinze pale (usiulize kwa nn)

Kimey yeye tulipofika Morogoro akakatisha njia kaishia mazimbu kule chini ya muti kukumbukia boom,, ( na kumwona mtoto alitebatizwa Agric general)

Preta yupo yupo nimemwona akikatiza kuangalia kipedo sehem sehem yeye anadai kwenda kuhudhuria machozi band

Pearl, Nyamayao, GY, bacha, kakakiiza na Kimbweka wako kwa mama ntilie wanakunywa supu na kinywaji cha asili ya huku

Nimebaki mimi tu kukuletea taarifa maana wamesema hawarudi hadi bunge liishe!
 
Na mimi pia nisharudi nipo nyumbani sasa
 
Sasa wewe ndiye unastahili kuitwa mjukuu....Kwa maana hiyo wengi wenu ni majeruhi.

Tutawasaidia tu msiwe na wasi wasi..We are here for u!
 
Mkuu tatizo wajukuu wengi wamechakachuliwa ndo maana unaona ivo

wanasubiri kutoa tamko!
 
Baba Gift kasema harudi mpaka amemkamata Vicky Kamata...LOl anahitaji maombi huyu!!
 
Ngoja nimuwangalie the Finest kama ameshamaliza 'ukaguzo' sijui kama anajua kuwa umesharudi?

Mbona Mama Bigi na speed zake zote ameshindwa kujibu kama kweli siyo majeruhi?

Naanza kuona ni kwa nini hata waheshimiwa wetu wanahanja hanja huko Dom wakati wa vikao vya jumba kuu tunahitaji kuwasamehe.
 
mkuu bunge halijesha bado

In fact the finest ameonekana anakagua vikuku vya kina dada

Asprin tangu alivoenda Ngwasuma, Kilimani pale, hajarudi hadi leo nasikia kakamatwa na mgogo huko kamweka ndani

MJ1 na Rose80 wapo kwa wamasai, wanachagua chachandu na vikuku,
RR na Baba Gift wamekesha chako ni chako na wameagiza tenga from Singina wanakuja nalo baa mupya

Fidel aliishia chalinze pale (usiulize kwa nn)

Kimey yeye tulipofika Morogoro akakatisha njia kaishia mazimbu kule chini ya muti kukumbukia boom,, ( na kumwona mtoto alitebatizwa Agric general)

Preta yupo yupo nimemwona akikatiza kuangalia kipedo sehem sehem yeye anadai kwenda kuhudhuria machozi band

Pearl, Nyamayao, GY, bacha, kakakiiza na Kimbweka wako kwa mama ntilie wanakunywa supu na kinywaji cha asili ya huku

Nimebaki mimi tu kukuletea taarifa maana wamesema hawarudi hadi bunge liishe!

Umenisahau ur executive assistant! hivi tuliishia wapi kwenye ile report ya jana....?!
 
mimi naomba mungu mdogo wangu maty abaki salama tu, maana dodoma ni zaidi ya kidodoma aisee...
 
me and the pope are well n good! Yet to come thou... Tutarudi as soon as we r done!

Du kweli hujafa utayaona mengi...!

Bado uko chama gani vile...(.Infi ni hatari...ina nguvu kuliko radi na mizimu yote ya mababu...)

DC
 
Back
Top Bottom