Huko Dodoma vipi?....Usalama je?

mimi naomba mungu mdogo wangu maty abaki salama tu, maana dodoma ni zaidi ya kidodoma aisee...

Nadhani Maty masalimika...leo kamsalimia babu yake.

Ila kuna wengine watakiwa kuwahishwa ICU na kutundikwa Lingers lactate drip!!
 
Du kweli hujafa utayaona mengi...!

Bado uko chama gani vile...(.Infi ni hatari...ina nguvu kuliko radi na mizimu yote ya mababu...)

DC

oh make no mistake! btn me n pope...its purely proffessional... no gettin out of hand! :A S tongue:
 
Umenisahau ur executive assistant! hivi tuliishia wapi kwenye ile report ya jana....?!

now...who do you think is giving me all these powers to narrate? without ur assistance, and guidance, not forgetting your charming smile, this would not have been possible! LOL:yield:
 
Mama ndio katinga mjengoni sijui mumewe kapanda gari ipi si litakiwa wawe pamoja?

20101026_1.JPG
 
now...who do you think is giving me all these powers to narrate? without ur assistance, and guidance, not forgetting your charming smile, this would not have been possible! LOL:yield:

how do i thank via mobile....
 
oh make no mistake! btn me n pope...its purely proffessional... no gettin out of hand! :A S tongue:

Sawa sawa mdogo wangu! Wewe wasema!

now...who do you think is giving me all these powers to narrate? without ur assistance, and guidance, not forgetting your charming smile, this would not have been possible! LOL:yield:

Babu is lost!
how do i thank via mobile....

Hapa ndo kabisaaaaaaaaa!

Indeed...

Out again!

:phone::phone::A S 100::A S 100::A S 100::A S 100:mad:Kaizer....:hug::hug::hug:

Naona uzee taabu...Ila kinapotua kidole tena cha babu....ushaha utakuwepo hata kama ni kidogo!! Me watching!!
 
Back
Top Bottom