Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,619
Nakumbuka kuna wetu walikamia safari ya Dom hadi wanataka kutoana macho...
Tulijitahidi kuwapoza na kuwapatia ushauri (kama kawaida ya wazee...ama kweli uzee dawa) ili mambo yaende salama. Sasa babu nasakamwa na mawazo hata usinginzi unakuwa shida. Siachi kujuliuza..hivi hawa wajukuu tuliowatuma Dom, tutakawafungia Novena na kuwawekea mikono wamerudi? Na kama wamerudi wako salama? Wamerudi wote kabisa hata mmoja wao hakupotezwa huko?
Haaaaaaaa......Naomba wanipe jibu, mwenzenu nimechoka kukaa na pressure juu!
Babu DC