Hujuma

kitio

Member
May 21, 2007
6
0
Kuna mtu anayejua kwamaba TTCL ilihujumiwa na kukaundwa Celtel Tanazania Ltd,na kusababisha hali ngumu kwa hiyo kampuni iliyokuwa ya umma
 
Hujuma kwa watanzania hazikuanza leo na sijui mwisho wake ni lini.Hayo ya TTCL tuliyasikia muda tu lakini watafuna nchi wakajitahidi kufunika kombe.

Ipo siku wahujumu uchumi watapandishwa kizimbani na mahakimu tutakuwa sisi wenyewe wajenga nchi...
 
mtaji wote wa celtel ulitolewa na ttcl hadi kufikia hata baadhi ya wafanyakazi kuamishiwa celtel
 
Kuna mtu anayejua kwamaba TTCL ilihujumiwa na kukaundwa Celtel Tanazania Ltd,na kusababisha hali ngumu kwa hiyo kampuni iliyokuwa ya umma

Hujuma ilikuwa kuwazuia TTCL kuanzisha Celtel, tena ilicheleweshwa sana kabla ya kukubaliwa baadae. Bado hatujui nani alipewa 'vijisenti' hadi ruhusa hiyo ikatolewa; kama data zipo ziweke hapa tuwapukutishe mafisadi mwaka huu!
 
Back
Top Bottom