Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,774
sawa bwana meneja wa atcl mwanza.ila kauli zako kwa wateja rekebisha basi
Hana lolote huyo. Kama anadhani kuambiwa ukweli ndio upotoshaji mbona kila kampuni binafsi ina-invest ili kuambiwa makosa yao? Ungekuwa ni upotoshaji wangefanya anonymous surveys? Naanza kuamini kuwa nchi hii imelaaniwa. Angalau tunajitambua tuna nafasi ya kujikomboa tukitubu