Hujuma Chamwino Ikulu Dodoma - Maji


Lastname

Lastname

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
923
Likes
5
Points
35
Age
47
Lastname

Lastname

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
923 5 35
Week iliyopita nimepita dodoma kikazi kwenye vijiji vya chamwino ikulu, buigiri, msanga na kadharika. Nimekuta wananchi wanalalamika sana kuhusu maji. Kwamba kwa miaka mingi wamekuwa wakitumia maji ya idara ya maji Chamwino Ikulu lakini baada ya Mbunge aliyekuwa wa Dodoma mjini Bwana Madeje kuchimba kisima sasa wana miezi takribani nane hawapati maji idara ya maji wanasema hawana luku na wanavijiji wote kuuziwa maji na huyu bwana ndo shilingi 200. Issue ni kwamba wananchi wanalalamika kuwa amewahonga idara ya maji ili aendelee kuuza maji tsh 200 kwa lita 20 ambayo ni kubwa sana kwa maisha ya kijijini, bado usafiri, wazee na watoto wanapata shida sana. Hali ni mbaya sana huko wenye kuhusika kama na nyinyi hampo kwenye mgao huo wasaidieni wananchi hao
 
Johnsecond

Johnsecond

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Messages
1,077
Likes
7
Points
0
Johnsecond

Johnsecond

JF-Expert Member
Joined May 4, 2010
1,077 7 0
kama vile tangazo la kwenye TV, CCM wanapeana machapuo nyinyi mnalia lia. Pumzisha lichama hili
 
Niambieni

Niambieni

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
626
Likes
15
Points
35
Niambieni

Niambieni

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2011
626 15 35
Wagogo wanataka maji bure? au wanaomba maji?
 

Forum statistics

Threads 1,251,864
Members 481,917
Posts 29,788,228