Huju ni M Tanzania anaye itwa kwa jina la Sudi Mkaazi wa Zanzibar anaumwa maradhi ya akili (Wendawaz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huju ni M Tanzania anaye itwa kwa jina la Sudi Mkaazi wa Zanzibar anaumwa maradhi ya akili (Wendawaz

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jul 27, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  [​IMG]


  Huju ni M Tanzania anayeitwa kwa jina la Sudi Mkaazi wa Zanzibar anaumwa maradhi ya akili (Wendawazimu) haya tena kama kuna mtu anamjuwa amtafute anaishi mjini istanbul nchini Uturuki.......................
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nino tena....
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mwendawazimu au teja katorokea uturuki?, huyo anaakili yake bwana kapandaje ndege
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Hizi ni baadhi ya vituko vyake anavyofanya mjini istanbul nimepata kwenye picha zake kwenye facebook Eee Mwenyeezi Mungu mponeshe SUDI.................... Hapa ana Acting kama Sanamu la Michellin........................
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  Kapatwa ugonjwa wa wendawazimu kakosa Radhi za wazazi wake historia yake ni ndefu sana haifai kuzungumzwa hapa ...............Mkuu MadameX
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Kasimama juu ya sehemu ya kutupa takataka za Mji hapa ni istanbul Turkey huyo ni SUDI Wa Lonjo Au wanamuita SUDI MNYAMWEZI.............
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  NO COMMENT
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  [​IMG]


  EEE Mwenyeezi Mungu Mponeshe SUDI MNYAMWEZI.....................
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Tanzania Embassy kwanini isiwajibike...
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  Hakuna Ubalozi hata kama utakuwepo Ubalozi wa Serikali ya Tanzania Ubalozi Hautaweza Kumsaidia. Tanzania is poor Country....................Mkuu MadameX Wa Tanzania watamngojea mpaka Afe ndio wataweza kumsaidia.
   
 12. m

  markj JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  TISS huyo! hahahaaaa!
   
 13. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Huko hakuna ubalozi wa Tanzania? Wamrudishe nyumbani kwao.
   
 14. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hivi ana kibali cha kukaa huko Uturuki? Alienda kufanya nini kule au ndiyo wale waunga? Serikali ya Uturuki haifanyi kazi yake kwani kwa kuwa si raia wao walitakiwa wawasiliana na ubalozi ili waone namna ya kumrejesha Tanzania. Kweli hii ni hatari sana. Ila nasikia uturuki si kuna jumuiya ya Watanzania? Kiongozi na wanajumuia wanasemaje?
   
 15. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  MziziMkavu hebu shirikiana na Polisi wa huko mumkamate arudishwe nyumbani kaka
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 18. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 19. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 20. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
Loading...