hujisikia furaha, hujifunza, huelimika.....ndani ya JF

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Dec 13, 2009
3,398
319
yaani, mwenzenu huwa nikichukizwa na jambo, ama kutaka kujifunza mambo mbali mbali, hufungua ka kompyuta kangu na kuingia JF aaah hunifanya kucheka sana, kufurahi, na kupata amani pale ninapokuwa nimeudhika na jambo fulani,
.......sijui we mwenzangu!
 
mimi huwa inanipa burudani saa zote...kwanza imenifanya nimepata marafiki wapya wengi na nimejifunza mambo mengi sana
 
mimi huwa inanipa burudani saa zote...kwanza imenifanya nimepata marafiki wapya wengi na nimejifunza mambo mengi sana
kabisa inaburudisha, huelimisha, kwa upande wa marafiki we usiseme ni raha, ni jambo jema kuwa
na maisha na watu ambao huwaoni na usipoona mchango wa mawazo yao kwa muda mimi huwa nawakumbuka sana, kama rafiki yangu Mundu sijui uko wapi mbona kwenye jukwaa la Lugha sikuoni?
 
Back
Top Bottom