Hujaolewa, je umshike yeyote, si kweli!

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
[h=6]Hapa hakuna kitu kinaitwa "kufanya makosa" Kuna msemo wa kingereza kwamba “someone is better than “No one’” ni uwongo kwani “No One” is better than a relationship that lack respect”
Wapo watu ambao (hasa wanawake wale ambao wanaona muda unaenda bila kuwa na mchumba au mpenzi wa kuwa naye katika maisha) huamua kushikana na bora mwanaume kwa kudhania kwamba ni heri kuwa na huyo mmoja kuliko kutakuwa naye kabisa.

Subiri kidogo nikwambie!
Kujiingiza kwa wanaume ambaye moyo wako hauko radhi eti kwa sababu unataka na wewe uonekane una mpenzi au una mchumba au una mume au una boyfriend ni kuumiza hisia zako.
Hata kama unaamini utafanikisha matakwa yako bila kuunganishwa emotionally, intellectually au affectionally utaishia kuumizwa.

Wengi wanajuta kwa sababu ya kuamini kwamba "someone is better than no one, hata hivyo waliokiri kwamba "no one is better than a relationship that lack respect" wanapeta.
Tafakari kwa makini!
[/h]
 
Zama kwenye ralatnshp kwanza then tumia ubabe,mambwata na makila kitu kumfanya umpendaye aje kwenye line yako.
Sasa we ukiwa nje huko hata umpendaye utampataje?
Utabaki kupendwa na usiyowapenda wale unaowapenda hawana hata tym na wewe.

Siungi mkono hoja.
 
kumpata mtu umpende wholly na yeye akupende wholly ni bahati nasibu kwa kweli,japokuwa wapo walioshinda lakini lazima wengine tukubali hii pata potea ni ngumu,sijui nilitaka kusema nini lol:redface::redface:
 
ila mimi nadhani wengine ni wae ambao mwanzoni huwa wanaringa sana wakiwa bado wabichi mambo yakianza kuchacha wanaanza kupaniki........mdada mzuri usiringe na kuchagua wanaume kama mafungu ya samaki vile pick the one you at 'atleast' love and you will love him for rever.
 
its gud to see you here in MMU Kimbweka,maana kule lile jukwaa ile mipicha ilikuwa kiboko mtu mpaka saa nyengine unajiulize kama huyu mtu yuko normal...
 
Iyo kitu iko very right frm psychological point of view "if you cant afford 2get what you want then ITS MUCH BETTER TO WANT WHAT YOU GET" it takes time to want it but itc owkey if an only if
 
Mapenzi hua yananoga sana mambo yakitokea automaticaly bila kustruggle au kuforce, ukiforce kumpenda mtu au kupendwa na mtu eti kwa sababu umri umeenda au kwa sababu nyingine yoyote mwisho wa siku lazima ikucost na utakua ushachelewa..
 
Zama kwenye ralatnshp kwanza then tumia ubabe,mambwata na makila kitu kumfanya umpendaye aje kwenye line yako.
Sasa we ukiwa nje huko hata umpendaye utampataje?
Utabaki kupendwa na usiyowapenda wale unaowapenda hawana hata tym na wewe.

Siungi mkono hoja.

Usiwadanyanye wenzio manuu,ubabe na malimbwata hayana maana katika mahusiano ya kimapenzi! Wifi yangu huwa anayatumia hayo malimbwata, na yaki-expire huwa anapata kipigo kama mbwa mwizi na kufukuzwa kabisa for months! Akisha renew madude yake mapenzi moto moto, sasa shida ya nini?
 
its gud to see you here in MMU Kimbweka,maana kule lile jukwaa ile mipicha ilikuwa kiboko mtu mpaka saa nyengine unajiulize kama huyu mtu yuko normal...

Hahahha umenichekesha ngoja leo ntakurushia za kufa mtu.....
 
ila mimi nadhani wengine ni wae ambao mwanzoni huwa wanaringa sana wakiwa bado wabichi mambo yakianza kuchacha wanaanza kupaniki........mdada mzuri usiringe na kuchagua wanaume kama mafungu ya samaki vile pick the one you at 'atleast' love and you will love him for rever.

eeeeh wanaringa baadaye wanaringiwa.........:eek2:
 
Zama kwenye ralatnshp kwanza then tumia ubabe,mambwata na makila kitu kumfanya umpendaye aje kwenye line yako.
Sasa we ukiwa nje huko hata umpendaye utampataje?
Utabaki kupendwa na usiyowapenda wale unaowapenda hawana hata tym na wewe.

Siungi mkono hoja.

Hahaha, idea yako chafu hayo malimbwata sijui na madudu gani yanaweza yakagoma ati!!!......
 
Back
Top Bottom