Hujafa hujaumbika

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Anaitwa Lakshmi mtoto huyu alizaliwa na miguu minne na mikono zaidi ya miwili iliyokuwa inazidi kuchomoza kila siku.,Lakini Mungu mkubwa alipofikisha miaka miwili akafanyiwa operation ya kumwondoa miguu na mikono ile ya ziada na hatimaye akarudi kuwa kiumbe cha kawaida.
 

Attachments

  • lakshmi 1.jpg
    lakshmi 1.jpg
    15 KB · Views: 205
  • lakshmi2.JPG
    lakshmi2.JPG
    15.5 KB · Views: 182
  • lakshmi 3.jpg
    lakshmi 3.jpg
    17.2 KB · Views: 169
  • lakshmi 4.jpg
    lakshmi 4.jpg
    11.7 KB · Views: 170
  • lakshmi 5.jpg
    lakshmi 5.jpg
    30.1 KB · Views: 165
inaaminika mtoto huyu watu walimwabudu kwa imani kuwa matatizo yao yataisha.
 
Back
Top Bottom