Hujafa hujaumbika


M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Messages
1,734
Likes
44
Points
145

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2010
1,734 44 145
Anaitwa Lakshmi mtoto huyu alizaliwa na miguu minne na mikono zaidi ya miwili iliyokuwa inazidi kuchomoza kila siku.,Lakini Mungu mkubwa alipofikisha miaka miwili akafanyiwa operation ya kumwondoa miguu na mikono ile ya ziada na hatimaye akarudi kuwa kiumbe cha kawaida.
 

Attachments:


Forum statistics

Threads 1,205,192
Members 457,754
Posts 28,185,306