Hujafa hujaumbika(kweli duniani tunapita njia)

kila jambo duniani lina sababu kwa Mungu...tunatakiwa tushukuru kwa kila jambo
 
Mbona naona kama huyu dogo asingeweza hata kutembea?...Ni matatizo makubwa haya!
 
Hapa kuna graphic design imechezwa hakuna jinsiambavyo huyu angesurvive mpaka umri huo lazima kuna some complications ambazo angepata zingemfupishia maisha.
 
Hapa kuna graphic design imechezwa hakuna jinsiambavyo huyu angesurvive mpaka umri huo lazima kuna some complications ambazo angepata zingemfupishia maisha.

ndio maana Mungu atabaki kuwa Mungu

Hii ni kweli na kuna cases nyingi tu. Hiyo miguu iliyoning'inia nia pacha wake ambae hakuwa ameumbika vizuri wakati mimba ilipotungwa. In fact huyo pacha kwa sasa ni kama parasite, huyo mtoto anatakiwa afanyiwe operation ili atenganishwe na huyo pacha. Kwa maelezo zaidi soma hapa:

http://en.wikipedia.org/wiki/Parasitic_twin
 
Hapa kuna graphic design imechezwa hakuna jinsiambavyo huyu angesurvive mpaka umri huo lazima kuna some complications ambazo angepata zingemfupishia maisha.

Acha ubishi bana...watu mbona mnakuwa wabishi hivo?,huyo dogo ni kweli ndo alivyozaliwa.....Gonga link hizi hapa chini

http://worldmustbecrazy.blogspot.com/2010/02/kumar-paswan-india-boys-with-his.html

http://www.yeeta.com/_Kumar_Paswan_India_Boys_with_his_Parasitic_Twins

http://www.metro.co.uk/news/813863-eight-limbed-boy-desperate-for-doctor-to-remove-parasite-twin

http://www.desihotmasala.com/2010/03/indian-octo-boy-kumar-paswan-parasitic.html
 
Back
Top Bottom