Hujaelewa nini? " Katika utawala wangu"!

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,428
2,609
Wasalaam!

Nikiri kuwa kwa kipindi cha Karibuni maGT wengi wameamua kunyamaza japo kunyamaza si suruhisho sahihi kama kuna tatizo limegundulika katika jamii.

Hebu tujadiri hili la "katika utawala wangu" nadhani kiguginizi kinatupata kwakuwa tulizoea kuongozwa! sasa hali imebadirika katokeza mtawara!

Je waliompigia kura walichagua mtawara au kiongozi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom