Huisha (update) taarifa za Jinsia katika kuomba kazi za Sensa

nana_

Senior Member
May 17, 2021
163
250
Ndugu waombaji wa ajira za muda SENSA 2022, tunapaswa kuhuuisha (update) taarifa zetu za Jinsia.

Naona ni kipengele kipya kimeongezwa hivi karibuni.

Login ili ku-update kila la kheri.

Asante kwa taarifa
 
mpwayungu village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,992
2,000
Ndugu waombaji wa ajira za muda SENSA 2022, tunapaswa kuhuuisha (update) taarifa zetu za Jinsia.

Naona ni kipengele kipya kimeongezwa hivi karibuni.

Login ili ku-update kila la kheri.
Inabidi ukaapdate taarifa zako uprint form upya ili uatach form inayoonyesha jinsia
 
Bakariforever

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
492
500
Ndugu waombaji wa ajira za muda SENSA 2022, tunapaswa kuhuuisha (update) taarifa zetu za Jinsia.

Naona ni kipengele kipya kimeongezwa hivi karibuni.

Login ili ku-update kila la kheri.
Shukrani sana kwa taarifa aiseee kwa sasa inabidi tuanze wengine mazoea ya kuingia kwenye account mara kwa mara tulikuwa hatuna mazoea hayo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom