Huhitaji kuwa Legal Guru kuweza kujua kuwa Spika Ndugai na aliyemtuma kuwa kwa Suala la Lissu wamechemsha mno

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,518
108,793
Nadhani kama kuna Watu ambao sasa hivi huko waliko na kama ni Marehemu basi Mizimu yao inaumia na hata Kuchukia basi watakuwa ni Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri waliopata Bahati mbaya ya Kumfundisha Spika wa Bunge wa sasa Ndugu Job Ndugai. Na nawapa pole Kubwa sana tu.

Ni Mpumbavu ( Mduduna ) tu pekee ndiyo atakubalina na Uamuzi wa Kiduduna ( Kipumbavu ) uliofanya na Spika Job Ndugai jana Bungeni kwa Kutangaza kuwa Kiti cha Mbunge Tundu Lissu sasa kipo wazi kwa sababu zake Dhaifu kabisa alizozitoa ambazo katika Vichwa vya Watu wenye Akili wala hazina Mashiko n asana sana ndiyo tunazidi Kumdharau kama siyo Kumpuuza Spika pamoja na wale wanaomtuma.

Sipo hapa Kumtetea Tundu Lissu japo na Yeye kama Mwanadamu na Mwanasiasa ana Mapungufu yake kadhaa ya Msingi ila nadhani kama tukisema tuangalie Haki, tumuogope Mwenyezi Mungu na tutangulize Ubinadamu pia basi Maamuzi dhidi yake ( Tundu Lissu ) ni ya Kiuonevu na yamejaa Ukatili, Uswahili na Unafiki uliokubuhu kabisa.

Ukiangalia Mazingira yote hakuna mahala ambapo Spika Ndugai ama alikuwa hajui alipo Tundu Lissu au amekumbwa na nini na bahati mbaya sana kuna hata Kauli zake Spika Ndugai alizowahi Kuzitoa juu ya Ugonjwa wa Tundu Lissu leo hii zinamgharimu kwa Kumuumbua na ndipo hapa nasema kwamba huenda leo hii Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri wa Spika Ndugai wakawa wanalia au wanajificha kwa Aibu Kubwa.

Sitaki kuamini kwa sasa ila kama haya Maamuzi ya Kiduduna ( Kipumbavu ) ya Spika Ndugai yana Baraka zote kutoka Ngazi ya Serikali Kuu ( Executive ) inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) wakiwa na Malengo yao Hasi na Tundu Lissu nadhani basi watakuwa wamejiandikishia Dhambi Kubwa sana katika Kitabu cheusi cha Mwenyezi Mungu kule Mbinguni na huenda Mwenyezi Mungu akawapa Laana moja mbaya na kubwa mno ambayo itakuja Kuwatesa hadi Pumzi zao za mwisho hapa duniani.

Katika hili ( Maamuzi haya ya Spika Ndugai ) wala huhitaji na Wewe sijui kuwa Wakili Msomi kuweza Kujua kuwa Spika Ndugai na hao waliomtuma wamechemsha tena vibaya sana tu juu ya Kutangaza Kumvua Ubunge Tundu Lissu. Na ninachojua Mimi kama Tundu Lissu akiamua Kujitetea mwenyewe na akisaidiwa pia na Mawakili wengine Wabobezi kuna hatari ya Serikali / Bunge la Tanzania Kuumbuka na kujikuta Tundu Lissu anashinda na Wao wakaishia kubaki tu Midomo wazi.

Kwa wenye Akili Kubwa na pana ambazo muda wote zinafanya Kazi ipasavyo tumegundua ya kwamba haya Maamuzi yamekuja sasa kwakuwa tayari kuna Watu waliotumwa kufanya Utafiti huko Jimboni kwa Tundu Lissu ili kupima kama pamoja na Kuugua Kwake hivi anakubalika au hapana na kila Ripoti ikipelekwa jibu linakuwa kwamba hata Lissu apambanishwe na nani huko Jimboni Kwake bado tu atashinda Ubunge hivyo wameamua Kummaliza mapema mwaka huu ili wamuandae Mtu wao ambaye watamuweka kwa Kipindi hiki cha Mpito kisha watamuwezesha Kifedha na Kuungwa mkono ili afanye Maendeleo ya haraka huko Jimboni kwa Lissu ili ateke Akili za wana Jimbo kusudi hadi mwakani Kipindi cha Uchaguzi awe ameshajulikana na kukubalika na wengi kisha agombee tena na apite Kiurahisi na ikibidi hata kwa Nguvu / Mabavu.

Nina mengi bado ya Moyoni ila kwa sasa nimalizie tu kwa Kumshauri Tundu Lissu kuwa hata kama ameamua kuwa anarudi Tanzania hiyo tarehe aliyotaja na Mwezi alioutaja ila namuomba sana awe makini kuliko alivyokuwa huko nyuma na ingekuwa ni Mimi basi kwa huu Upepo na hizi dalili zote za Kikatili na Hujuma Tanzania si sehemu salama tena Kwake na kama angeweza basi angetafuta tu hata Ukimbizi wa Kisiasa nje ya Tanzania au aombe tu kuwa Mhadhiri wa Masuala ya Kisheria Vyuo Vikuu vya Nje ( Ulaya ) na hata Marekani kwani najua kwa IQ yake iliyo Kubwa anauwezo huo au anaweza akajihusisha na Mashirika mbalimbali ya Haki za Binadamu duniani na bado tu akaendelea Kuishi. Simshauri arejee Tanzania hii kwa sasa kwani naiona Hatari Kubwa ya Kiuhai mbele yake kutoka kwa wale wale Watu wasiojulikana ambao sina uhakika kama nao walishauwawa baada Kushindwa Jaribio walilopewa la Kumuondoa au walirudishwa tena Mafunzoni ili Tundu Lissu akirejea Tanzania basi safari hii wasikosee kabisa Target na wahakikishe wanammaliza na kubaki Historia.

Kwa leo yangu ni haya tu ila Tanzania ya leo inanisikitisha na hata kuniliza Machozi.
 
Ungeenda deep kidogo na uchambuzi wako....

Naona kama umelalamika tu, ukaishia hewani....

Ungeichambua kila hoja, makala yako ingekuwa murua sana...
 
Tulikuwa tunahisi kuwa waliomiminia risasi Lissu ni watu wale au watu hawa.............

Lakini hivi sasa wamejitambulisha kwa dunia nzima pasipo shaka yoyote, wawajue "wao" kuwa ndiyo wahusika wakuu wa jaribio lile baya kabisa la kujaribu kuuondoa uhai wa Lissu.

Hata hivyo Mungu alisema NO, Lissu ataendelea kuishi.

Ambapo wenyewe walikuwa siku zote wakituaminisha kuwa watu wale waliohusika katika jaribio lile ni watu wasiojulikana!

Kwa hiyo kufanya uamuzi wa kijinga kiasi kile, ambapo hata mtoto mdogo anayesoma kindergarten hawezi kuufanya, ndiyo kunazidi wathibitishia walimwengu, main suspects wa jaribio lile la kumuua Lissu, wala si wengine, Bali hawa hawa wanaofanya maamuzi ya kiuendwazimu
 
Nadhani kama kuna Watu ambao sasa hivi huko waliko na kama ni Marehemu basi Mizimu yao inaumia na hata Kuchukia basi watakuwa ni Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri waliopata Bahati mbaya ya Kumfundisha Spika wa Bunge wa sasa Ndugu Job Ndugai. Na nawapa pole Kubwa sana tu.
Hata lilipitokea suala la Nassari mlitukana sana
Wanasheria wa mitandaoni mnaongozwa na huba
 
Ukitaka kuuchambua uamuzi wa Spika nenda kule mahakama ya Kisutu na kasome hukumu ya lile shauri la Jamhuri kutaka Lissu akamatwe kwa kushindwa kufika mahakamani.

Jamhuri ilishindwa na mahakama ilishaamua kwamba Lissu yuko matibabu huko Belgium.

Unless hali imebadilika, huo ni uamuzi na uko kwenye vitabu vya sheria.
 
Ndugai anafamilia na wabunge wengine wanafamilia, je wanafahamu machungu ya kuuguliwa au kuondokewa na wapendwa wao?
Mkuu ukiwa CCM huugui wala kuuguliwa, hufi wala hupati misiba...
Unakuwa mwenye raha kuliko watu wote...
Labda wanataka TL aunge mkono juhudi ili apate haki zake na arudishiwe ubunge wake :D :D
Halafu kwa haya mambo wanataka watu wawe wazalendo!!!
 
Nadhani kama kuna Watu ambao sasa hivi huko waliko na kama ni Marehemu basi Mizimu yao inaumia na hata Kuchukia basi watakuwa ni Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri waliopata Bahati mbaya ya Kumfundisha Spika wa Bunge wa sasa Ndugu Job Ndugai. Na nawapa pole Kubwa sana tu.

Ni Mpumbavu ( Mduduna ) tu pekee ndiyo atakubalina na Uamuzi wa Kiduduna ( Kipumbavu ) uliofanya na Spika Job Ndugai jana Bungeni kwa Kutangaza kuwa Kiti cha Mbunge Tundu Lissu sasa kipo wazi kwa sababu zake Dhaifu kabisa alizozitoa ambazo katika Vichwa vya Watu wenye Akili wala hazina Mashiko n asana sana ndiyo tunazidi Kumdharau kama siyo Kumpuuza Spika pamoja na wale wanaomtuma.

Sipo hapa Kumtetea Tundu Lissu japo na Yeye kama Mwanadamu na Mwanasiasa ana Mapungufu yake kadhaa ya Msingi ila nadhani kama tukisema tuangalie Haki, tumuogope Mwenyezi Mungu na tutangulize Ubinadamu pia basi Maamuzi dhidi yake ( Tundu Lissu ) ni ya Kiuonevu na yamejaa Ukatili, Uswahili na Unafiki uliokubuhu kabisa.

Ukiangalia Mazingira yote hakuna mahala ambapo Spika Ndugai ama alikuwa hajui alipo Tundu Lissu au amekumbwa na nini na bahati mbaya sana kuna hata Kauli zake Spika Ndugai alizowahi Kuzitoa juu ya Ugonjwa wa Tundu Lissu leo hii zinamgharimu kwa Kumuumbua na ndipo hapa nasema kwamba huenda leo hii Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri wa Spika Ndugai wakawa wanalia au wanajificha kwa Aibu Kubwa.

Sitaki kuamini kwa sasa ila kama haya Maamuzi ya Kiduduna ( Kipumbavu ) ya Spika Ndugai yana Baraka zote kutoka Ngazi ya Serikali Kuu ( Executive ) inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) wakiwa na Malengo yao Hasi na Tundu Lissu nadhani basi watakuwa wamejiandikishia Dhambi Kubwa sana katika Kitabu cheusi cha Mwenyezi Mungu kule Mbinguni na huenda Mwenyezi Mungu akawapa Laana moja mbaya na kubwa mno ambayo itakuja Kuwatesa hadi Pumzi zao za mwisho hapa duniani.

Katika hili ( Maamuzi haya ya Spika Ndugai ) wala huhitaji na Wewe sijui kuwa Wakili Msomi kuweza Kujua kuwa Spika Ndugai na hao waliomtuma wamechemsha tena vibaya sana tu juu ya Kutangaza Kumvua Ubunge Tundu Lissu. Na ninachojua Mimi kama Tundu Lissu akiamua Kujitetea mwenyewe na akisaidiwa pia na Mawakili wengine Wabobezi kuna hatari ya Serikali / Bunge la Tanzania Kuumbuka na kujikuta Tundu Lissu anashinda na Wao wakaishia kubaki tu Midomo wazi.

Kwa wenye Akili Kubwa na pana ambazo muda wote zinafanya Kazi ipasavyo tumegundua ya kwamba haya Maamuzi yamekuja sasa kwakuwa tayari kuna Watu waliotumwa kufanya Utafiti huko Jimboni kwa Tundu Lissu ili kupima kama pamoja na Kuugua Kwake hivi anakubalika au hapana na kila Ripoti ikipelekwa jibu linakuwa kwamba hata Lissu apambanishwe na nani huko Jimboni Kwake bado tu atashinda Ubunge hivyo wameamua Kummaliza mapema mwaka huu ili wamuandae Mtu wao ambaye watamuweka kwa Kipindi hiki cha Mpito kisha watamuwezesha Kifedha na Kuungwa mkono ili afanye Maendeleo ya haraka huko Jimboni kwa Lissu ili ateke Akili za wana Jimbo kusudi hadi mwakani Kipindi cha Uchaguzi awe ameshajulikana na kukubalika na wengi kisha agombee tena na apite Kiurahisi na ikibidi hata kwa Nguvu / Mabavu.

Nina mengi bado ya Moyoni ila kwa sasa nimalizie tu kwa Kumshauri Tundu Lissu kuwa hata kama ameamua kuwa anarudi Tanzania hiyo tarehe aliyotaja na Mwezi alioutaja ila namuomba sana awe makini kuliko alivyokuwa huko nyuma na ingekuwa ni Mimi basi kwa huu Upepo na hizi dalili zote za Kikatili na Hujuma Tanzania si sehemu salama tena Kwake na kama angeweza basi angetafuta tu hata Ukimbizi wa Kisiasa nje ya Tanzania au aombe tu kuwa Mhadhiri wa Masuala ya Kisheria Vyuo Vikuu vya Nje ( Ulaya ) na hata Marekani kwani najua kwa IQ yake iliyo Kubwa anauwezo huo au anaweza akajihusisha na Mashirika mbalimbali ya Haki za Binadamu duniani na bado tu akaendelea Kuishi. Simshauri arejee Tanzania hii kwa sasa kwani naiona Hatari Kubwa ya Kiuhai mbele yake kutoka kwa wale wale Watu wasiojulikana ambao sina uhakika kama nao walishauwawa baada Kushindwa Jaribio walilopewa la Kumuondoa au walirudishwa tena Mafunzoni ili Tundu Lissu akirejea Tanzania basi safari hii wasikosee kabisa Target na wahakikishe wanammaliza na kubaki Historia.

Kwa leo yangu ni haya tu ila Tanzania ya leo inanisikitisha na hata kuniliza Machozi.

Watu kama wewe ambao hupenda kutumia maneno ya 'mpumbavu' au 'hana akili' yeyote yule ambaye hakubaliani na maoni yake huwa siwaelewi kabisa...Ni andiko lililojaa 'emotions' zaidi hali halisi iliyopo kihoja...
 
Mku kwa baya lolote litakalo mkuta Tindu atakaporudi tujiandae na vikwazo vya kidunia na hili halipngiki na ikiwezeka watakaohusika .
Sakata Kashogi tunaliona linavyoenda Lissu sio mwepesi na wanaojua wanaojua hili
 
Kwa Hali hii nikweli Lissu ni bora asingerudi, watamuua tu masikini Ya Mungu, watu makatili kwakweli, wanasahau kama dunia tunapita, ivi ndugai anahisi atakuwa spika wa milele, nimemsikia juz anamuambia makonda eti amuogope Mungu Kwa kusema uongo mbele ya Raisi Juu ya yeye kuwambia wachezaji wa stars hawana lishe, mungu huyo sijui alimaanisha wa kigogo, nimeshindwa kuiweka ile video ya juzi bungeni akiongea ivyo
 
taifa haliwezi kuwa na aibuya mhuni kama lissu aende zake akacheze marede na wenzie huko mtaani
Hujui kama mnatwanga maji kwenye kinu?...Lissu anarudi na analitwaa jimbo lake kwa ulaini
 
hahahaaaaa kweli wewe ni juha hivi aje agombee tena apate tena? unacheza wewe hiyo ndiyo imetoka sasa hivi linaenda ccm maana hakutakuwa na mgombea mwenye sifa za kushiriki uchaguzi hilo limeshawatoka milele
Ndio maana nasema nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom